mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Licha ya kua umeiba habari toka kanyamala media huko Facebook, lakini umenikumbusha mbali sana ilikua 2012 ,moja ya skendo kadhaa za utekaji zilizoihusu serika ya JAKAYA KIKWETE
Lulu kwangu ni mkubwaWe ungekuwa hata umri wa kina Lulu, kwa udadisi wako hili tukio lazima ungelijua
Mkuu meno ni kitu kingine..Bora yale meno walifanya kuyavunja maumivu yake ni ya muda tu ila kunyofolewa kucha na pliers aisee maumivu yake utayasikia milele.
Jamaa baada ya lile tukio alikaa kimya kama mbwa koko aliyepoteza windo yaani kimyaa!
Kwamba umezaliwa 2010 kwenda juu mkuu? 😂😂😂.Leo nimethibitisha mimi ni mdogo 😆
Hapana ila wakati huo sikua najua chochoteKwamba umezaliwa 2010 kwenda juu mkuu? 😂😂😂.
Ila baadae utasema mimi ndiyo wa 2007 kumbe ni wewe haya bhanaHapana ila wakati huo sikua najua chochote
Ki vp kijana 😳Ila baadae utasema mimi ndiyo wa 2007 kumbe ni wewe haya bhana
Uliniambia nimezaliwa 2007 nahisi umesahauKi vp kijana 😳
Acha basi 🤣🤣🤣Uliniambia nimezaliwa 2007 nahisi umesahau
Hiyo siku nililia sana nikakosa mpaka nguvu za kukujibu