Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,950
- 9,511
Daaah.... namuomba Mwenyezi Mungu anisamehe kwa kitendo nilichokifanya ujanani mara yangu ya kwanza kufanya mapenzi nilifanya unyama mno dhidi ya masikini tena mwenye uhitaji wa mboga aende akale na mtoto wake nikamwambie ili nimpatie inabidi na yeye anipatie aiseee ..ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜....
popote alipo naomba anisamehe ulikuwa ni ujana maji ya moto....🤧🤧🤧🤧....
Ndiyo maana nasema mwenyezi Mungu ni mwenye rehema hebu jaribu kufikir kama angelikuwa anatoa adhabu 'on the spot' ..dunia ingelibakia na binaadam wangapi.?
'I'm sorry'