Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya mapenzi?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]........sasa kwani unafikiri natania, na asitake kukudanganya mtu wale wote waliokulia kwenye ufugaji washazifyatua sana mbuzi na kondoo
Ndyoo Kaka angu alikutwa anabaka mbuzi, ilikua kijijini kwa bibi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu wakati huo yuko std 7.
 
Ndyoo Kaka angu alikutwa anabaka mbuzi, ilikua kijijini kwa bibi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu wakati huo yuko std 7.
Kawaida sana hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We mzee miaka 16 umenunua paka???mhhhhh chai hii
 
Basi umepitwa hiyo stage muhimu ya kubalehe.

Hiyo stage ndio kipindi ambacho tunavutiwa na upande wa pili inakuwa kwenye peak
na steji hatari sana, kitaa nilipo vijana wa umri huo wanazini ovyo ovyo, mbele nyuma
yaani na steji ya kuvaa HIV nje nje
 
Ilkua sku yangu ya kwnza kwangu na kwa mwenzngu[emoji39]
 
Jaribio la kwanza.
Siku ya mahafari ya darasa la 7.
Nilikua nakademu kangu hatujawahi fanya kitu,siku ya mahafari jioni tukaonana kwenye pagala,mimi sijawahi na yeye hajawahi

Aisee tuliitafuta sana mbususu,ananiambia huku,nikiweka sifiki,akigeuka huku haingii,tukatokwa sana na jasho yani mpaka dakika za mwisho tukaona tuvae.

Mimi nikaenda likizo,ile nmerudi nakuta demu wangu kashakua demu wa bro jirani na home na anaonekana kashakua mzoefu mana alikua ananicheka.

Jaribio la pili
Wakati nipo sekondari skuli nilikua msanii halafu class sio haba,na kwenye basketi ndio balaa,madem wakawa wananipenda,basi kufika form two kuna demu alinitumia kadi,nikamkubali akawa demu wangu . Siku ya bonanza la kikapu(kwa wakazi wa mbeya wanajua shangwe lake miaka hiyo)

Mwanaume nikakichafua sana siku hiyo,basi demu akasema atanipa zawadi,mie chap nikawasanua wadau,kuna bro akanipa geto na hela ya soda,demu akaja kazama mpaka ndani.

Basi bana,mm nampigisha story tu za jana kwenye bonanza,mara mziki ,hata pakuanzia sijui,kijasho tu kinanitoka,ikafika muda demu akaaga na kuondoka.

Kisanga kwa wadau,mana walikua wanasubiria feedback,nikawambia nmekula,katika kuniuliza maswali wakanishtukia sijala mana wao wazoefu,nilipata fedheha sana.

Baada ya kupiga pepa la form two,nikaenda kwa bibi,siunajua zile mtu umetoka mjini,basi kuna demu akajilengesha nami nikajikaza.
Siku amekuja yeye ndio aliendesha mchezo mzima,lile bao bana lilikua ni balaaaa mno,na bahat mbaya sana asubui yake nikasafiri ,tokea siku hiyo hadi nandika hapa huyo demu sijawahi kumuona tena.

Baada ya kurudi home,kila alieshoboka alipata cha kusimulia,mana ilikua nikuwapelekea moto tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…