Unakumbuka Simba ya Azim Dewj na Yanga ya Abass Gulamali?

Unakumbuka Simba ya Azim Dewj na Yanga ya Abass Gulamali?

Makumbi juma
Juma pondamali
Fred Felix minziro
Ken mkapa
 
Sc villa walikuwa wazuri sana.una kumbukumbu nzuri. Villa sijui kama wapo. Nakumbuka na zanz ilikuwepo miaka hiyo small simba ,malindi na mandege kama sikosei kombe la a.mash na kati mech zinachezwa usiku ilikuwa raha sana ushindan wa miaka ile.

Kulikuwa na nyota nyekundu hawa walikuwa wanaogopwa sabab ya kuchapa buti. Huko tanga kulikuwa na coastal union, mbeya kuna Tukuyu Stars, morogoro kuna reli ,mwanza kuna wana TP lindanda Pamba. Hizi team zilikuwa zinachangamoto kwa simba na yanga sana.
Small simba walikuwa na left back mmoja matata sana leonard wilium huyu alikuwa na roho mbaya hataki mchezo alikuwa na kimzuzu flan hivi kisha mfupi hapo golini ali bushiri kina said njunju mohamed kachumbari inocent haule.
 
Bila kuwasahau

John makelele
Ndege john
Dowa said

Raphael paul
Steven nemes
Said John
Deo mkuki
Hamis gaga
Malota soma
George masatu
Hussein masha
Mohamed mwameja
Kimti

Nteze John
Dua Said
 
Umenikumbusha innocent haule na mohamed kachumbari. Hawa nawakumbuka vizur sana.

Small simba walikuwa na left back mmoja matata sana leonard wilium huyu alikuwa na roho mbaya hataki mchezo alikuwa na kimzuzu flan hivi kisha mfupi hapo golini ali bushiri kina said njunju mohamed kachumbari inocent haule.
 
Bila kuwasahau

John makelele
Ndege john
Dowa said
Raphael paul
Steven nemes
Said John
Deo mkuki
Hamis gaga
Malota soma
George masatu
Hussein masha
Mohamed mwameja
Kimti
Hapo kwenye red nadhani umemkusudia NTEZE JOHN LUNGU.
 
Sijui nini kilimkuta kategile nadhani ulabu ila huyu alikuwa winga khatari sana ya kushoto product ya biashara shinyanga hiyo yeye na mwinyimvua komba (masolwa )Ahmed abbas Michael Paul (nylon )abdalah magubika (zagada )edibily lunyamila dhikiri mchumila aly ngaoneka Paul John Masanja hizi zote products za biashara shinyanga.
Umemsahau DHIKIRI MCHUMILA kama sikosei nae alikua Biashara ya Shinyanga, kuna kina Steven Nyenge huyu wa Shinyanga pia
 
Nakumbuka mwaka 1994 Azim dewji aliwaahidi wachezaji wa Simba kuwapa magari ya KIA (yale ya mizigo) kila mchezaji endapo wangefanikiwa kuchukua kombe la CAF,

Hata hivyo Simba walitoka draw ya 0-0 away na wakafungwa home goli 2-0 na Stela Adjame,
Hata hivyo Azim dewji aliwazawadia wachezaji magari madogo na waliotaka hela aliwapa hela.
 
SIMBA SPORT CLUB YA ENZI HIZO
ZA AZIM DEWJI;

1. Mackenzi RAMADHANI
2. Raphael PAUL
3. Twaha HAMIDU "NORIEGA"
4. Deo NJOHOLE "OCD"
5. Frank KASSANGA "BWALYA"
6. Iddi SELEMANI Kibode "MEYA"
7. Dani MHOJA
8. Hamis GAGA "GAGARINO"
9. Malota SOMA "BALL JUGGLER"
10. Zamoyoni MOGELA
11. Edward CHUMILA "WONDER BOY"
 
YANGA YA ENZI ZA ABASS GULAMALI;

1.Joseph FUNGO
2.Yusuf ISMAIL Bana
3.Freddy FELIX Minziro
4.Athumani JUMA chama
5.Lawrence MWALUSAKO
6.Issa ATHUMANI
7.Aboubakar SALUM
8. Athuman CHINA
9. Said MRISHO
10. Abeid MZIBA
11. Edgar FONGO
 
Umemsahau DHIKIRI MCHUMILA kama sikosei nae alikua Biashara ya Shinyanga, kuna kina Steven Nyenge huyu wa Shinyanga pia
Dhikiri nimemtaja tizama uzuri kuhusu stive hapo nilijikita kutaja products za biashara (RTC )stive hakupita hapo alitokea halmashauri na kwenda ushirika moshi baadae yanga.
 
Nakumbuka mwaka 1994 Azim dewji aliwaahidi wachezaji wa Simba kuwapa magari ya KIA (yale ya mizigo) kila mchezaji endapo wangefanikiwa kuchukua kombe la CAF,

Hata hivyo Simba walitoka draw ya 0-0 away na wakafungwa home goli 2-0 na Stela Adjame,
Hata hivyo Azim dewji aliwazawadia wachezaji magari madogo na waliotaka hela aliwapa hela.
93 hiyo ya stela de abidjan walikuwa tayari wameandaa na kamati ya maandalizi ya sherehe mpaka mitaa ambayo kombe litapita duh huyo bolizozo alivyokua anamgeuza rashidi abdalah kama chapati kipindi hicho ndo kaibukia James tungaraza basi nae akabatizwa jina hilo.
 
Kuna timu moja nilikuwa siipendi kwa kuisumbua Simba, Milambo ya Tabora, kila ikikutana na Simba lazima Simba walazwe kwa kagoli kamoja tu na Reli la morogoro daah
 
Nakumbuka mwaka 1994 Azim dewji aliwaahidi wachezaji wa Simba kuwapa magari ya KIA (yale ya mizigo) kila mchezaji endapo wangefanikiwa kuchukua kombe la CAF,
Hata hivyo Simba walitoka draw ya 0-0 away na wakafungwa home goli 2-0 na Stela Adjame,
Hata hivyo Azim dewji aliwazawadia wachezaji magari madogo na waliotaka hela aliwapa hela.

Ilikuwa 1993 Mkuu siyo 1994 tena tulitoa draw wakati striker wetu Edward Chumila hakucheza!! lakini Boli Zozo basi tu
 
Kipindi simba ina mafanikio 1993 first 11 ya taifa stars ilikuwa na wachezaji 8 toka simba na tukachukua kombe la challenge halafu mtu anaibuka tu eti wao wakimataifa wakati hawajawahi vunja record za simba
 
Enzi hizo Simba walikua wanajiita TAIFA KUBWA eti Yanga nao wakafuatiza na kujiita UMOJA WA MATAIFA.
 
Back
Top Bottom