Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Small simba walikuwa na left back mmoja matata sana leonard wilium huyu alikuwa na roho mbaya hataki mchezo alikuwa na kimzuzu flan hivi kisha mfupi hapo golini ali bushiri kina said njunju mohamed kachumbari inocent haule.Sc villa walikuwa wazuri sana.una kumbukumbu nzuri. Villa sijui kama wapo. Nakumbuka na zanz ilikuwepo miaka hiyo small simba ,malindi na mandege kama sikosei kombe la a.mash na kati mech zinachezwa usiku ilikuwa raha sana ushindan wa miaka ile.
Kulikuwa na nyota nyekundu hawa walikuwa wanaogopwa sabab ya kuchapa buti. Huko tanga kulikuwa na coastal union, mbeya kuna Tukuyu Stars, morogoro kuna reli ,mwanza kuna wana TP lindanda Pamba. Hizi team zilikuwa zinachangamoto kwa simba na yanga sana.
Bila kuwasahau
John makelele
Ndege john
Dowa said
Raphael paul
Steven nemes
Said John
Deo mkuki
Hamis gaga
Malota soma
George masatu
Hussein masha
Mohamed mwameja
Kimti
Small simba walikuwa na left back mmoja matata sana leonard wilium huyu alikuwa na roho mbaya hataki mchezo alikuwa na kimzuzu flan hivi kisha mfupi hapo golini ali bushiri kina said njunju mohamed kachumbari inocent haule.
Mkuu Lunyamila ni wa hapa juzi tu!Hapo Hukunitendea Haki Kwa Kuto Kuwataja Watu Wawili Muhimu Sana... Edibili Johnus Lunyamila na Edward Salvatory...
Hapo kwenye red nadhani umemkusudia NTEZE JOHN LUNGU.Bila kuwasahau
John makelele
Ndege john
Dowa said
Raphael paul
Steven nemes
Said John
Deo mkuki
Hamis gaga
Malota soma
George masatu
Hussein masha
Mohamed mwameja
Kimti
Umemsahau DHIKIRI MCHUMILA kama sikosei nae alikua Biashara ya Shinyanga, kuna kina Steven Nyenge huyu wa Shinyanga piaSijui nini kilimkuta kategile nadhani ulabu ila huyu alikuwa winga khatari sana ya kushoto product ya biashara shinyanga hiyo yeye na mwinyimvua komba (masolwa )Ahmed abbas Michael Paul (nylon )abdalah magubika (zagada )edibily lunyamila dhikiri mchumila aly ngaoneka Paul John Masanja hizi zote products za biashara shinyanga.
Mkuu Edward Salvatory ni wa juzi tu,labda ulimaanisha marehemu Edward Chumila.Usimsahau pia Said Sued Scud.Hapo Hukunitendea Haki Kwa Kuto Kuwataja Watu Wawili Muhimu Sana... Edibili Johnus Lunyamila na Edward Salvatory...
Dhikiri nimemtaja tizama uzuri kuhusu stive hapo nilijikita kutaja products za biashara (RTC )stive hakupita hapo alitokea halmashauri na kwenda ushirika moshi baadae yanga.Umemsahau DHIKIRI MCHUMILA kama sikosei nae alikua Biashara ya Shinyanga, kuna kina Steven Nyenge huyu wa Shinyanga pia
93 hiyo ya stela de abidjan walikuwa tayari wameandaa na kamati ya maandalizi ya sherehe mpaka mitaa ambayo kombe litapita duh huyo bolizozo alivyokua anamgeuza rashidi abdalah kama chapati kipindi hicho ndo kaibukia James tungaraza basi nae akabatizwa jina hilo.Nakumbuka mwaka 1994 Azim dewji aliwaahidi wachezaji wa Simba kuwapa magari ya KIA (yale ya mizigo) kila mchezaji endapo wangefanikiwa kuchukua kombe la CAF,
Hata hivyo Simba walitoka draw ya 0-0 away na wakafungwa home goli 2-0 na Stela Adjame,
Hata hivyo Azim dewji aliwazawadia wachezaji magari madogo na waliotaka hela aliwapa hela.
Nakumbuka mwaka 1994 Azim dewji aliwaahidi wachezaji wa Simba kuwapa magari ya KIA (yale ya mizigo) kila mchezaji endapo wangefanikiwa kuchukua kombe la CAF,
Hata hivyo Simba walitoka draw ya 0-0 away na wakafungwa home goli 2-0 na Stela Adjame,
Hata hivyo Azim dewji aliwazawadia wachezaji magari madogo na waliotaka hela aliwapa hela.
Enzi hizo Simba walikua wanajiita TAIFA KUBWA eti Yanga nao wakafuatiza na kujiita UMOJA WA MATAIFA.Kipindi simba ina mafanikio 1993 first 11 ya taifa stars ilikuwa na wachezaji 8 toka simba na tukachukua kombe la challenge halafu mtu anaibuka tu eti wao wakimataifa wakati hawajawahi vunja record za simba
Taifa Kubwa kweli mpaka leoEnzi hizo Simba walikua wanajiita TAIFA KUBWA eti Yanga nao wakafuatiza na kujiita UMOJA WA MATAIFA.