Majuzi nimepanda basi moja zuri linatokea Dar kwenda Manyara kupitia Kondoa.Route za kwenda mikoani hasa kuanzia Dar-mbeya, Dar-mwanza Bus nyingi zina haya mambo ya kupakiza abiria inakuwa usumbufu tena
Mbona shabiby anafanya, machame anafanya pia ila si sana, abood the same, BM anafanya tu, kilimanjaro mwenyewe majanga.Kaskazini sijawahi kuona hii kituβ¦
Huku VIP ni VIP.. level seat mpaka konda π€£π€£
Pesa ya kulipia bus ameipata atafute ipi tena.Subiri waje watakwambia acha makelele tafuta pesa.
Hata KAMATA na RWELE, upande wa luxury na express buses walifanikiwa sana. Na hii ilikuwa ni karne iliyopita.,..Biashara ya Usafirishaji kwa hapa Tanzania walifaulu sana Scandinavia, wengine wanahangaika hangaika bado
Nakazia Jambo Kwa Bongo HaliwezekaniMabasi ya Tanzania ni uchuro mtupu kwakweli.
VIP buses ziko njia ya Dar Arusha na Dar Tanga tu.Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasio na siti
Kuanzia Ally stars BUS wanaoisifia , katarama BUS na Bus zingine nyingi hali hii inafanyia abiria wake.
Unakuta umepanda bus kila abiria amekaa katika seat yake ikifika mahali Bus linaruhusu kupakiza abiria wengine wanaanza kusimama pembeni ya seats za abiria wengine wanakaa katika njia za kupita.
Nini maana ya Bus kuipa Hadhi ya VIP/VVIP?
Wamiliki wa Bus suala hili mnalifahamu?
- Ni bus gani haina tabia hizi?
Sema tu mabasi ya kwenda Dar-Handeni ni kero kubwa mtu alipa kabisa na ticket anapewa lakini anasimama toka kituoni mpaka anafika nimeshangaa sanaUnakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasio na siti
Kuanzia Ally stars BUS wanaoisifia , katarama BUS na Bus zingine nyingi hali hii inafanyia abiria wake.
Unakuta umepanda bus kila abiria amekaa katika seat yake ikifika mahali Bus linaruhusu kupakiza abiria wengine wanaanza kusimama pembeni ya seats za abiria wengine wanakaa katika njia za kupita.
Nini maana ya Bus kuipa Hadhi ya VIP/VVIP?
Wamiliki wa Bus suala hili mnalifahamu?
- Ni bus gani haina tabia hizi?
[emoji1787]Majuzi nimepanda basi moja zuri linatokea Dar kwenda Manyara kupitia Kondoa.
Seats zao ni 2x2.
Njiani sasa!
Masai na wataturu wananuka samli, wamepakizwa, wengine wamekalia ndoo na wengine wamekaa chini.
Ovyo kabisa.
Baadaye nikaona na kunguni kwenye seat ya mbele.
Usafiri wa kifala sana.
Ya ndegePesa ya kulipia bus ameipata atafute ipi tena.
Uzuzu huo.Ya ndege
Hao jamaa hawajielewKilimanjaro wana huu ushamba mkuu. Nimewahi kushuhudia.
Hicho "kiharufu kizito kinachosambaa" ni cha nini mkuu.......π€π€π€πππNjia ya kwenda toilet inafungwa
Wanaosimama wanaegamia siti bus likiyumba unaangukiwa uliyekaa
Wanaegamia siti makalio yakuwa usawa wa kichwa cha abiria aliyekaa unasikia kiharufu kizito kinasambaa puani
Itatuchukua karne kadhaa kuelimika
Nyie wenyewe ndio mnatumia mabunzi chooni.VIP kibongo bongo bado sana, ndio tunajifunza tuseme ukweli tu... Labda miaka michache ijayo tutafika
Sasa hivi sio ajabu kukuta gari ni VVIP lakini choo kibovu, AC ya magumashi, mwendo wa dereva ni kanyaga twende babaakee, movie zilezile kila siku za mkojani, Ringo, Nagwa... Customer care mbovu, usalama wa mizigo muda mwingine mdogo kwa hiyo ni vuruguvurugu
Kuna bus (Sitalitaja) nilipanda kwenda mkoani nikajutia kutoa hela yangu kwamba nimepanda VIP.