Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
Majuzi nimepanda basi moja zuri linatokea Dar kwenda Manyara kupitia Kondoa.Route za kwenda mikoani hasa kuanzia Dar-mbeya, Dar-mwanza Bus nyingi zina haya mambo ya kupakiza abiria inakuwa usumbufu tena
Seats zao ni 2x2.
Njiani sasa!
Masai na wataturu wananuka samli, wamepakizwa, wengine wamekalia ndoo na wengine wamekaa chini.
Ovyo kabisa.
Baadaye nikaona na kunguni kwenye seat ya mbele.
Usafiri wa kifala sana.