Unakuta mwamba anaandika with confidence kabisa: "Wanaosomesha Watoto EMs na ISs wanapoteza pesa tu"

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
🤣🤣🤣
a361a9eb2cfdfcf932de59775e628b28~2.jpg

Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au kushindwa kufanya.

SIKU NJEMA
 
Afya na mionekani ya watoto wa st kayumba na afya na mionekano ya watoto wa EMs and ISs ni mbingu na ardhi..hiyo inatosha kukwambia hali ya kipato na maisha ya wazazi wa watoto hao wa pande hizo 2.
 
🤣🤣🤣
View attachment 3209994

UTAKUWA MMILIKI WA EMs bila shaka.
Usiogope, harakati zao hazitakukosesha wanafunzi.
 
🤣🤣🤣
View attachment 3209994

Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au kushindwa kufanya.

SIKU NJEMA
🙉🙉🙉 ila ebu ipe heshima ISs usifananishe na izi Ems coz azina tofaut na kayumba
 
🤣🤣🤣
View attachment 3209994

Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au kushindwa kufanya.

SIKU NJEMA
Habari imfikie mganga wa kienyeji msaidizi bwn LIKUD
 
Afya na mionekani ya watoto wa st kayumba na afya na mionekano ya watoto wa EMs and ISs ni mbingu na ardhi..hiyo inatosha kukwambia hali ya kipato na maisha ya wazazi wa watoto hao wa pande hizo 2.
Mkuu unamanisha nini?🤣
 
Mkuu unamanisha nini?🤣
Mbona wapo watoto wa kayumba wana afya nzuri tuu.... na akili

Sema mazingira ndo yanawatofautisha na huduma zitolewazo!!

Labda hao English medium watapata chai mapema kayumba mpaka lunch na lunch ni kusukumana na kipindi Cha jiwe ndo walikuwa hawali kisa elimu Bure

Kingine huduma madarasa ya medium na international Yana accommodate wanafunz kwa namba maalumu

Kingine waalimu wanafundisha kwa kuzingatia watoto wanataka nn ?

Kingine school bus, ama wanapelekwa ni tofaut na kayumba mpaka ukate kilometers tatu nne kuifauata shule. ........
 
🤣🤣🤣
View attachment 3209994

Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au kushindwa kufanya.

SIKU NJEMA
Mkuu, watu wanaoletaga uzi huo huwa wanawalenga watu kama huyo. Huwa wanaweka angalizo KAMA KIPATO CHAKO KIDOGO USIPELEKE MTOTO EM. Inaoneka wewe ndio huwa huwaelewi, wanatahadharisha wenye kipato kidogo sio wenye hela kama kina vunja bei
Msipoteshe mawazo chanya. Kama una hela peleka hata marekani ila kama kapuku usiige utapasuka msba.
 
Kayumba mnazo zilenga ni aina zipi au za huku mashambani mnakoishi.
 
Mkuu unamanisha nini?🤣
NGOJA NIONGEZE SAUTI...NAMAANISHA NENDA KAANGALIE AFYA NA MUONEKANO KATI YA WATOTO WA KAYUMBA NA EMs and INT.SCHOOLS UTAPATA MAJIBU YA CHUMI ZA WAZAZI WAO.
 
Mkuu, watu wanaoletaga uzi huo huwa wanawalenga watu kama huyo. Huwa wanaweka angalizo KAMA KIPATO CHAKO KIDOGO USIPELEKE MTOTO EM. Inaoneka wewe ndio huwa huwaelewi, wanatahadharisha wenye kipato kidogo sio wenye hela kama kina vunja bei
Msipoteshe mawazo chanya. Kama una hela peleka hata marekani ila kama kapuku usiige utapasuka msba.
Na mimi ndio nimetaka kushangaa huyu mtoa kwanza hayupo fair.

Likud ana semaga kama hauna uwezo usimpeleke mwanao.

Lakini pia siku zote amekuwa akizisifia shule za International Schools zinazo fuata mtaala wa Cambridge ambazo ada zake ni kuanzia Dola elfu 30 Kwa mwaka anasema hizo ndio mzazi anapaswq kumlipia mwanae Kwa sababu ndio zinatoa maarifa ya ukweli Kwa mtoto.

Mtoa Mada anataka comments nyingi tu hana hata hoja apuuzwe
 
🤣🤣🤣
View attachment 3209994

Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au kushindwa kufanya.

SIKU NJEMA
Oya mwamba umewaamulia...mpaka waombe maji
 
Kayumba mnazo zilenga ni aina zipi au za huku mashambani mnakoishi.
Nadhani ni za kwao shamba Huko Sio za mjini mtoa mada ameshapost hapa anaulizia daladala za kutoka Kijiji kwenda Kijiji kingine Mwanza Huko.
 
🤣🤣🤣
View attachment 3209994

Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au kushindwa kufanya.

SIKU NJEMA
Kama unaweza wapeleke english medium na international schools ,maana huku mtaani tunaona utofauti .wachache wanatoka shule za kawaida alafu wanakuwa very smart kweny lugha,kujiamini, exposure wengi unakuta wanashindwa kujiamini kwenye baadhi ya masuala.
 
Back
Top Bottom