Unakuta mwamba anaandika with confidence kabisa: "Wanaosomesha Watoto EMs na ISs wanapoteza pesa tu"

Unakuta mwamba anaandika with confidence kabisa: "Wanaosomesha Watoto EMs na ISs wanapoteza pesa tu"

Kabisa yani ufananishe exposure ya mtoto anaesoma Muhimbili Primary School ambayo ni ya Kiswahili vs Itabagumba English Medium iliyopo Sengerema anakotoka mtoa mada
Hatariiiiii,
 
Kabisa yani ufananishe exposure ya mtoto anaesoma Muhimbili Primary School ambayo ni ya Kiswahili vs Itabagumba English Medium iliyopo Sengerema anakotoka mtoa mada
Ange jaribu hata kusema baadhi ya st Kayumba 😛
 
Kama unaweza wapeleke english medium na international schools ,maana huku mtaani tunaona utofauti .wachache wanatoka shule za kawaida alafu wanakuwa very smart kweny lugha,kujiamini, exposure wengi unakuta wanashindwa kujiamini kwenye baadhi ya masuala.
LIKUD umefikiwa tayari
 
Kwa hizi Kayumba, hizi hizi?
Screenshot_20250122_151621_Chrome.jpg

Au mnatuambia Kayumba zipi?
Screenshot_20250122_151527_Chrome.jpg

Acheni utani wakuu!
Screenshot_20250122_151642_Chrome.jpg
 
Kabisa yani ufananishe exposure ya mtoto anaesoma Muhimbili Primary School ambayo ni ya Kiswahili vs Itabagumba English Medium iliyopo Sengerema anakotoka mtoa mada

Exposure inapatikana kutokana na mazingira yanayomzunguka mtoto. Haitokani na lugha ya shuleni
 
🤣🤣🤣
View attachment 3209994

Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au kushindwa kufanya.

SIKU NJEMA

Umepiga kwenye mshono ,mimi kauli yangu kama pesa zipo somesha EM/IS kama hauna peleka KAYUMBA acha ushauri.
 
Mkuu, watu wanaoletaga uzi huo huwa wanawalenga watu kama huyo. Huwa wanaweka angalizo KAMA KIPATO CHAKO KIDOGO USIPELEKE MTOTO EM. Inaoneka wewe ndio huwa huwaelewi, wanatahadharisha wenye kipato kidogo sio wenye hela kama kina vunja bei
Msipoteshe mawazo chanya. Kama una hela peleka hata marekani ila kama kapuku usiige utapasuka msba.
Umeelewa wewe kumbe
 
Back
Top Bottom