Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
UTAKUWA MMILIKI WA EMs bila shaka.🤣🤣🤣
View attachment 3209994
Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au kushindwa kufanya.
SIKU NJEMA
🙉🙉🙉 ila ebu ipe heshima ISs usifananishe na izi Ems coz azina tofaut na kayumba🤣🤣🤣
View attachment 3209994
Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au kushindwa kufanya.
SIKU NJEMA
Habari imfikie mganga wa kienyeji msaidizi bwn LIKUD🤣🤣🤣
View attachment 3209994
Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au kushindwa kufanya.
SIKU NJEMA
Mkuu unamanisha nini?🤣Afya na mionekani ya watoto wa st kayumba na afya na mionekano ya watoto wa EMs and ISs ni mbingu na ardhi..hiyo inatosha kukwambia hali ya kipato na maisha ya wazazi wa watoto hao wa pande hizo 2.
Mbona wapo watoto wa kayumba wana afya nzuri tuu.... na akiliMkuu unamanisha nini?🤣
Mkuu, watu wanaoletaga uzi huo huwa wanawalenga watu kama huyo. Huwa wanaweka angalizo KAMA KIPATO CHAKO KIDOGO USIPELEKE MTOTO EM. Inaoneka wewe ndio huwa huwaelewi, wanatahadharisha wenye kipato kidogo sio wenye hela kama kina vunja bei🤣🤣🤣
View attachment 3209994
Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au kushindwa kufanya.
SIKU NJEMA
kuna Kayumba ngapi mkuuKayumba mnazo zilenga ni aina zipi au za huku mashambani mnakoishi.
NGOJA NIONGEZE SAUTI...NAMAANISHA NENDA KAANGALIE AFYA NA MUONEKANO KATI YA WATOTO WA KAYUMBA NA EMs and INT.SCHOOLS UTAPATA MAJIBU YA CHUMI ZA WAZAZI WAO.Mkuu unamanisha nini?🤣
Na mimi ndio nimetaka kushangaa huyu mtoa kwanza hayupo fair.Mkuu, watu wanaoletaga uzi huo huwa wanawalenga watu kama huyo. Huwa wanaweka angalizo KAMA KIPATO CHAKO KIDOGO USIPELEKE MTOTO EM. Inaoneka wewe ndio huwa huwaelewi, wanatahadharisha wenye kipato kidogo sio wenye hela kama kina vunja bei
Msipoteshe mawazo chanya. Kama una hela peleka hata marekani ila kama kapuku usiige utapasuka msba.
Oya mwamba umewaamulia...mpaka waombe maji🤣🤣🤣
View attachment 3209994
Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au kushindwa kufanya.
SIKU NJEMA
Nadhani ni za kwao shamba Huko Sio za mjini mtoa mada ameshapost hapa anaulizia daladala za kutoka Kijiji kwenda Kijiji kingine Mwanza Huko.Kayumba mnazo zilenga ni aina zipi au za huku mashambani mnakoishi.
Kwa kweli, kama jambo hulijuwi usikurupukeNadhani ni za kwao shamba Huko Sio za mjini mtoa mada ameshapost hapa anaulizia daladala za kutoka Kijiji kwenda Kijiji kingine Mwanza Huko.
Wajibu swali kwa swalikuna Kayumba ngapi mkuu
Kama unaweza wapeleke english medium na international schools ,maana huku mtaani tunaona utofauti .wachache wanatoka shule za kawaida alafu wanakuwa very smart kweny lugha,kujiamini, exposure wengi unakuta wanashindwa kujiamini kwenye baadhi ya masuala.🤣🤣🤣
View attachment 3209994
Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au kushindwa kufanya.
SIKU NJEMA
Hamna lolote ni umasikini tu nakwambiaUsitake tufanane mawazo kila mtu anatazama maisha kwa mtazamo aliopo