niquetamere
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 532
- 1,008
Utakapoanza kuharisha harisha ovyo, ataekuwa anakutawaza mnduku ni mkeo😂😂😂Wanaume Tunaojitambua tuko bar tunakata bapa kubwa, Vant, Serengenti na kadhalika huku supu ya kuku na mbuzi katoliki tukisindikizwa na mabusu mazito kutoka kwa Mademu pemben yetu.
Niko choma hapa mzee.
Sasa mwanaume kama mimi nishndwe kukata konyagi ya 15.000
Hiyo Chomazone yenyewe ukiiona unaweza cheka ufe sehemu flani inapiga maband maturubai mengi ya kilofa sana.
Wanajivunia kupaki gari nyingi nje
Yaan mi starehe yangu ni kua sehem niko free, kuanzia braa free na everything free then niwe na fav dish beside na bavaria yangu hapo siku nimeipatia 😁😁Asilimia 90 ya wabongo wanajua starehe ni kwenda bar tu hawajui starehe nyingine na bar zenyewe sasa muziki kelele hata haueleweki meza zimepauka pauka unajiuliza mtu kafuata starehe hapo au
Kijana wangu huyu hana shida yupo sebulen sasa hawezi fuatilia tamthiliya za Azam ...lazma akimbilie JF
Tena ukute na 5000 kwa wallet :kaibanda"
Umelewa???
Nasikia kahama premio ni nyingi sana
Mkuu haya yote si yanataka pesa??Wanaume Tunaojitambua tuko bar tunakata bapa kubwa, Vant, Serengenti na kadhalika huku supu ya kuku na mbuzi katoliki tukisindikizwa na mabusu mazito kutoka kwa Mademu pemben yetu
UmeonaNakuona umekaa sebuleni na simu yako unaibua hoja ili uchangamshe JF[emoji3]
Mkuu haya yote si yanataka pesa??
Hayo Mabapa na mbuzi katoliki wanagawa bure?
Sisi wengine hatujajaliwa. Kuleni bata nyie.
Wana raha Sana vijana.. wengine tupo kazijiHapo ukute una light ya 3 basi full vurugu ..wakupokonye simu aise
Kijana wangu huyu hana shida yupo sebulen sasa hawezi fuatilia tamthiliya za Azam ...lazma akimbilie JF
Nakuja hapo vp 101 pana parking au dolo maana TADEI wa choma so powaaa....Jambo Jambo?
Yani unakuta mwanaume ana midevu, mwili mkubwa ila Mke wake kamwambia USITOKE anamtii mke wake na anatetemeka kabisa.
Watu sasa hvi tuko vyombo.
Wanaume Tunaojitambua tuko bar tunakata bapa kubwa, Vant, Serengenti na kadhalika huku supu ya kuku na mbuzi katoliki tukisindikizwa na mabusu mazito kutoka kwa Mademu pemben yetu.
Wewe mwanaume Uko ndani unajifanya unachati na mchepuko mkutane kesho wakati mchepuko wako tuko nao huku.
Sisi tumeoa ila wake zetu wanajua kuwa “AN AFRICAN MAN IS ALWAYS UNPREDICTABLE WHEN IT COMES TO PUSSIES”
Eti wewe umekaa hapo kitandani na mechi wife kakunyima unanuuunaaa.
Wengine eti wanawahi kurudi kisa mke wake asimshutukie alivyotoka kwa mchepuko anasahau kuwa
“A BLACK MAN SI ALWAYS SUSPECTED”
Wengine wanajifanya magentlemen eti huwa hatoki usiku anaspend muda na wife na watoto, Sikiliza na sisi tuna familia, nawapa time monday to friday this 2 days are mine.
Aya vuta shuka ukojoe ulale sawa?
Cheers kwa wale ambao mko viwanja mida hii lets enjoy guys life is too short.
Nshomile
nikiripoti kutoka
Choma zone,Kahama Tanzania
Nakuja hapo vp 101 pana parking au dolo maana TADEI wa choma so powaaa....
Utoto rahaWana raha Sana vijana.. wengine tupo kaziji