Unakuta Mwanaume anavuta shuka muda huu, Wenzie tunaponda maisha bar

Jambo Jambo?

Yani unakuta mwanaume ana midevu, mwili mkubwa ila Mke wake kamwambia USITOKE anamtii mke wake na anatetemeka kabisa.
Watu sasa hvi tuko vyombo.

Wanaume Tunaojitambua tuko bar tunakata bapa kubwa, Vant, Serengenti na kadhalika huku supu ya kuku na mbuzi katoliki tukisindikizwa na mabusu mazito kutoka kwa Mademu pemben yetu.

Wewe mwanaume Uko ndani unajifanya unachati na mchepuko mkutane kesho wakati mchepuko wako tuko nao huku.

Sisi tumeoa ila wake zetu wanajua kuwa “AN AFRICAN MAN IS ALWAYS UNPREDICTABLE WHEN IT COMES TO PUSSIES”

Eti wewe umekaa hapo kitandani na mechi wife kakunyima unanuuunaaa.

Wengine eti wanawahi kurudi kisa mke wake asimshutukie alivyotoka kwa mchepuko anasahau kuwa

“A BLACK MAN SI ALWAYS SUSPECTED”

Wengine wanajifanya magentlemen eti huwa hatoki usiku anaspend muda na wife na watoto, Sikiliza na sisi tuna familia, nawapa time monday to friday this 2 days are mine.

Aya vuta shuka ukojoe ulale sawa?

Cheers kwa wale ambao mko viwanja mida hii lets enjoy guys life is too short.

View attachment 2612606

Nshomile

nikiripoti kutoka
Choma zone,Kahama Tanzania
Wenzie ndo we huyo 🤣🤣🤣🤣
 
Kama uko baa saa hizi na unapata nafasi ya kuchati basi nyie ndio mnakwendaga baa na kuagiza juice ya azam enegy maana pesa ya bia huna manina
 
Zimepigwa pini jana Mgosi ananambia NEMC wamewapiga stop. Nadhani open pubs zote ni wahanga
Asante kwa taarifa Mkuu. Nimeshangaa jana Ijumaa kimya, wakati ndiyo huwa weekend imepamba moto, leo pia kimya.
Ila wakipozwa tu yatarudi yaleyale.

Unakumbuka walishafanya hivi, mpaka wengi wakaweka soundproof. Baada ya muda wakarudi nje kelele kama kawa.
 
Ni kawaida yenu mnaonunuliwa pombe za ofa kuwa na fujo unaweza hata kuvunja viti hapo bar

Kaka mimi ni mtu wa madini, huwezi kunambia eti kutumia laki au zaidi ni sifa.

Wewe unaona ajabu kwasababu huna hela.

Umekaa home kwa dada ako umeshiba kiporo cha kande pumbavu.

Njoo Pm nkutumie 20k ya kukutoa tongotongo.
 
Jambo Jambo?

Yani unakuta mwanaume ana midevu, mwili mkubwa ila Mke wake kamwambia USITOKE anamtii mke wake na anatetemeka kabisa.
Watu sasa hvi tuko vyombo.

Wanaume Tunaojitambua tuko bar tunakata bapa kubwa, Vant, Serengenti na kadhalika huku supu ya kuku na mbuzi katoliki tukisindikizwa na mabusu mazito kutoka kwa Mademu pemben yetu.

Wewe mwanaume Uko ndani unajifanya unachati na mchepuko mkutane kesho wakati mchepuko wako tuko nao huku.

Sisi tumeoa ila wake zetu wanajua kuwa “AN AFRICAN MAN IS ALWAYS UNPREDICTABLE WHEN IT COMES TO PUSSIES”

Eti wewe umekaa hapo kitandani na mechi wife kakunyima unanuuunaaa.

Wengine eti wanawahi kurudi kisa mke wake asimshutukie alivyotoka kwa mchepuko anasahau kuwa

“A BLACK MAN SI ALWAYS SUSPECTED”

Wengine wanajifanya magentlemen eti huwa hatoki usiku anaspend muda na wife na watoto, Sikiliza na sisi tuna familia, nawapa time monday to friday this 2 days are mine.

Aya vuta shuka ukojoe ulale sawa?

Cheers kwa wale ambao mko viwanja mida hii lets enjoy guys life is too short.

View attachment 2612606

Nshomile

nikiripoti kutoka
Choma zone,Kahama Tanzania
Vipaombele tu ndugu yangu
 
Asante kwa taarifa Mkuu. Nimeshangaa jana Ijumaa kimya, wakati ndiyo huwa weekend imepamba moto, leo pia kimya.
Ila wakipozwa tu yatarudi yaleyale.

Unakumbuka walishafanya hivi, mpaka wengi wakaweka soundproof. Baada ya muda wakarudi nje kelele kama kawa.
Hili kalitolea maelekezo PM NEMC naona wanatekeleza oda. Tweeter kule page ya PM nimesoma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa tuache na wake zetu ila punguza ushamba mzee wa muleba!!! Huku mjini izo beer zipo ndani kwenye fridge

hizo hazinogi na pia mkuu haipendezi kuweka pombe kwenye friji kama jna watoto.
 
Kaka mimi ni mtu wa madini, huwezi kunambia eti kutumia laki au zaidi ni sifa.

Wewe unaona ajabu kwasababu huna hela.

Umekaa home kwa dada ako umeshiba kiporo cha kande pumbavu.

Njoo Pm nkutumie 20k ya kukutoa tongotongo.
Nshomile urudi nyumbani sasa ndugu yetu usiku mno sasa. Huyu kesho mtumie mpesa laki hakujui huyu! Henesy mgawie mhudumu
 
Kaka mimi ni mtu wa madini, huwezi kunambia eti kutumia laki au zaidi ni sifa.

Wewe unaona ajabu kwasababu huna hela.

Umekaa home kwa dada ako umeshiba kiporo cha kande pumbavu.

Njoo Pm nkutumie 20k ya kukutoa tongotongo.
Watu wa madini nawajua sana nimezunguka kwenye migodi ya dhahabu Kanda ya ziwa yote wenye fujo huwa ni nyie mnaozama kwenye mashimo ya matajiri mnachimba mwezi mzima mshahara ugali dagaa ukiotea laki unaleta fujo bar
 
Back
Top Bottom