Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh okay ndiyo utajiuliza hao NEMC huwa wanafanya kazi gani? Mpaka wapewe maelekezo.Hili kalitolea maelekezo PM NEMC naona wanatekeleza oda. Tweeter kule page ya PM nimesoma
Watu wa madini nawajua sana nimezunguka kwenye migodi ya dhahabu Kanda ya ziwa yote wenye fujo huwa ni nyie mnaozama kwenye mashimo ya matajiri mnachimba mwezi mzima mshahara ugali dagaa ukiotea laki unaleta fujo bar
Hiyo avatar yako mtoa mada mimi inaniachaga hoi kwakweli.
Typical Nshomile's face[emoji28][emoji28]
Ooh okay ndiyo utajiuliza hao NEMC huwa wanafanya kazi gani? Mpaka wapewe maelekezo.
Ukute wanapelekewa malalamiko lundo, wanakula tu na wenye bar.
Ngoja tuone litadumu, japo watapata hasara ila waje na adabu sasa.
Asante, halafu wewe mtani wangu. Vizuri tumejuana mtani pamoja 🤝ila bantu lady wee ni mrembo aisee daah.
Napenda wanawake smart kama wewe, uko wap mrembo?
kama kuna aliyeiona chupa ya k vant na hizo serengeti alizosema huyu mchokoza mada aniambie na mimi niangalie tena hiyo picha, huenda nimelewa. Enewei, huo mwandiko wako sio wa baa, maandishi yanaonesha upo sebleni unasubiri watu wakalale na wewe ulale.
Migodi ipi unataka mzee tuanze na kahama migodi mikubwa ipo Buzwagi na Bulyanhulu migodi midogo ipo Mwime kalole,nyangalata,nyamishiga, segese(tambalale), Namba 9 kakola (mwaka 2019 ndo ulifumuka pembeni ya mgodi wa bulyanhulu)TAJA HIYO MIGODI NKUUMBUE HAPA WEWE JINGA
unajifanya mtu wa migodi kumbe mlala hoi, hakuna mtu wa madini mwenye makasiriko na hela ndogo za starehe.
HAKUNA
JF ukiwashika watu pakunyea wanaanza matusi na dhihaka, kama Chemba dhidi ya LuagaPicha imepigwa upande mmoja wewe kimada.
Akili kubwa 👏🏾👏🏾kama kuna aliyeiona chupa ya k vant na hizo serengeti alizosema huyu mchokoza mada aniambie na mimi niangalie tena hiyo picha, huenda nimelewa. Enewei, huo mwandiko wako sio wa baa, maandishi yanaonesha upo sebleni unasubiri watu wakalale na wewe ulale.
Kwann unapenda kujibu hoja kwa matusi na kejeli?Picha imepigwa upande mmoja wewe kimada.
Acha kutype huku unapush kinyesi saw?
Mwanaume una makasiriko kisa huna hela
Go Find a Job, pumbavu
Machawa utawajua tu , Huwa Wana kelele sana kumbe bia za bureJambo Jambo?
Yani unakuta mwanaume ana midevu, mwili mkubwa ila Mke wake kamwambia USITOKE anamtii mke wake na anatetemeka kabisa.
Watu sasa hvi tuko vyombo.
Wanaume Tunaojitambua tuko bar tunakata bapa kubwa, Vant, Serengenti na kadhalika huku supu ya kuku na mbuzi katoliki tukisindikizwa na mabusu mazito kutoka kwa Mademu pemben yetu.
Wewe mwanaume Uko ndani unajifanya unachati na mchepuko mkutane kesho wakati mchepuko wako tuko nao huku.
Sisi tumeoa ila wake zetu wanajua kuwa “AN AFRICAN MAN IS ALWAYS UNPREDICTABLE WHEN IT COMES TO PUSSIES”
Eti wewe umekaa hapo kitandani na mechi wife kakunyima unanuuunaaa.
Wengine eti wanawahi kurudi kisa mke wake asimshutukie alivyotoka kwa mchepuko anasahau kuwa
“A BLACK MAN SI ALWAYS SUSPECTED”
Wengine wanajifanya magentlemen eti huwa hatoki usiku anaspend muda na wife na watoto, Sikiliza na sisi tuna familia, nawapa time monday to friday this 2 days are mine.
Aya vuta shuka ukojoe ulale sawa?
Cheers kwa wale ambao mko viwanja mida hii lets enjoy guys life is too short.
View attachment 2612606
Nshomile
nikiripoti kutoka
Choma zone,Kahama Tanzania
Jambo Jambo?

Migodi ipi unataka mzee tuanze na kahama migodi mikubwa ipo Buzwagi na Bulyanhulu migodi midogo ipo Mwime kalole,nyangalata,nyamishiga, segese(tambalale), Namba 9 kakola (mwaka 2019 ndo ulifumuka pembeni ya mgodi wa bulyanhulu)
Una lipi la kusema hapo? Unaijua hiyo migodi? Kama huijui we bado sana kwenye mambo ya madini
Mnooo, ukienda parking za hiyo chomazone na magic 101 gari ni nyingi sanaaaNasikia kahama premio ni nyingi sana
Picha kwa hisani ya GoogleNakuona umekaa sebuleni na simu yako unaibua hoja ili uchangamshe JF[emoji3]