Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
- Thread starter
- #121
Angalia sana red bull so nzuri afya moyo wako
siku 1 1 si mbaya, sema zile ukizipiga usiku huu unaweza ukaenda ukamuamusha mama watoto ashughulike na mkuyenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia sana red bull so nzuri afya moyo wako
All the best .....siku 1 1 si mbaya, sema zile ukizipiga usiku huu unaweza ukaenda ukamuamusha mama watoto ashughulike na mkuyenge
Mshamba mwenyewe, kenge wewemshamba sana wewe. yani unaona laki 1 ni kubwa kuharibu
pumbavu
Mkeo nae yupo na nani?una uhakika yupo nyumbani?Jambo Jambo?
Yani unakuta mwanaume ana midevu, mwili mkubwa ila Mke wake kamwambia USITOKE anamtii mke wake na anatetemeka kabisa.
Watu sasa hvi tuko vyombo.
Wanaume Tunaojitambua tuko bar tunakata bapa kubwa, Vant, Serengenti na kadhalika huku supu ya kuku na mbuzi katoliki tukisindikizwa na mabusu mazito kutoka kwa Mademu pemben yetu.
Wewe mwanaume Uko ndani unajifanya unachati na mchepuko mkutane kesho wakati mchepuko wako tuko nao huku.
Sisi tumeoa ila wake zetu wanajua kuwa “AN AFRICAN MAN IS ALWAYS UNPREDICTABLE WHEN IT COMES TO PUSSIES”
Eti wewe umekaa hapo kitandani na mechi wife kakunyima unanuuunaaa.
Wengine eti wanawahi kurudi kisa mke wake asimshutukie alivyotoka kwa mchepuko anasahau kuwa
“A BLACK MAN SI ALWAYS SUSPECTED”
Wengine wanajifanya magentlemen eti huwa hatoki usiku anaspend muda na wife na watoto, Sikiliza na sisi tuna familia, nawapa time monday to friday this 2 days are mine.
Aya vuta shuka ukojoe ulale sawa?
Cheers kwa wale ambao mko viwanja mida hii lets enjoy guys life is too short.
View attachment 2612606
Nshomile
Nikiripoti kutoka
Choma zone,Kahama Tanzania
Mkeo nae yupo na nani?una uhakika yupo nyumbani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena ukute na 5000 kwa wallet :kaibanda"
1. Mazingira ya majumbani si rafiki, vyumba vichache haviwatoshi watu, hakuna games majumbani, Tv zenyewe ubabaifu, mara mke apige makelele, Feni/AC majanga full joto.Asilimia 90 ya wabongo wanajua starehe ni kwenda bar tu hawajui starehe nyingine na bar zenyewe sasa muziki kelele hata haueleweki meza zimepauka pauka unajiuliza mtu kafuata starehe hapo au
Mimi bar na makelele si enjoy chochote. Mimi naenjoy zaidi nikiwa na family sehemu tulivu ambapo wakati watu wazima tunaenjoy na watoto nao wanaenjoy kwa michezo na vitu kama hivyo. Na pia mimi si mnywaji kihivyo na hata nikinywa napenda zaidi nikinywa home kuliko nje ya home. Ila umetoa sabahu za msingi kabisa1. Mazingira ya majumbani si rafiki, vyumba vichache haviwatoshi watu, hakuna games majumbani, Tv zenyewe ubabaifu, mara mke apige makelele, Feni/AC majanga full joto.
2.Hatuna outdoors activities, michezo kama bao/karata na barbecue fulani hivi hata yenye thamani ya 20k (ideally mishikaki) pia haiwezekani.
3.Hatuna public gardens, yenye michezo mbalimbali tuseme twende na watoto/familia. Kila kitu ukienda out kinahitaji pesa, so lazima ufanye kila namna utoke pekeyako.
4.Kujaribu kufit-in na trends na style za maisha ya wengine, infact kuna watu wakikutana jumatatu kazini wanaanza stori za weekend jinsi walivyohama bar moja kwenda nyingine, mwingine kama hana maisha hayo anaona naye aanze kutoka, kwanini apitwe?
5. Wachache wanapenda bar, yaani ni jambo lao moyoni. Kuhang’ na watu wapya, makelel ya music, vyakula vya bar, wachuchu wapya etc.
6. Most of people hawazipendi familia zao/hawaenjoy kukaa na kucheza na watoto wao yaani kutwa kuwatoroka.
7. Vyakula home ni bajeti kali sana, kila kitu kwa ratiba. bites, snacks na viburudisho vingine vimekaa kibajeti sana, nyumbani wala hakuwezi kunoga. Kwahiyo lazima tupoteze muda nje ya majumba yetu.
Kwa ujumla kikubwa ni Mazingira ya nyumbani si rafiki baada ya kazi za kutwa, si rafiki kwa weekends pia option ni moja tu kwa baadhi ya watu KAZINI-BAR hadi mida ya wanga then home kulala kidogo, morning kali unatoroka kwako tena……
Starehe ni ile hali ya mtu kufanya alipendalo ambalo linampa furaha,ni issue ya state of mind,
Enjoyment, ni any activity that gives pleasure,the condition of enjoying anything,
Kama wewe starehe yako ni kua hapo Bar na kulewa haimaniishi kua hiyo ni starehe ya kila mtu,au asiyefanya hiyo starehe ni mshamba,
Wewe ni Mvulana coz mwanaume asingeona sifa kujitangaza JF kua yupo Bar anapigwa mabusu na wauza sukari huku mkewe kamuacha nyumbani akiwa na mtoto mchanga,
Kadiri umri unavyokwenda,siku moja utakuja kutambua kua hii thd yako ilisukumwa na utoto unaokutawala au ulimbukeni.
1. Mazingira ya majumbani si rafiki, vyumba vichache haviwatoshi watu, hakuna games majumbani, Tv zenyewe ubabaifu, mara mke apige makelele, Feni/AC majanga full joto.
2.Hatuna outdoors activities, michezo kama bao/karata na barbecue fulani hivi hata yenye thamani ya 20k (ideally mishikaki) pia haiwezekani.
3.Hatuna public gardens, yenye michezo mbalimbali tuseme twende na watoto/familia. Kila kitu ukienda out kinahitaji pesa, so lazima ufanye kila namna utoke pekeyako.
4.Kujaribu kufit-in na trends na style za maisha ya wengine, infact kuna watu wakikutana jumatatu kazini wanaanza stori za weekend jinsi walivyohama bar moja kwenda nyingine, mwingine kama hana maisha hayo anaona naye aanze kutoka, kwanini apitwe?
5. Wachache wanapenda bar, yaani ni jambo lao moyoni. Kuhang’ na watu wapya, makelel ya music, vyakula vya bar, wachuchu wapya etc.
6. Most of people hawazipendi familia zao/hawaenjoy kukaa na kucheza na watoto wao yaani kutwa kuwatoroka.
7. Vyakula home ni bajeti kali sana, kila kitu kwa ratiba. bites, snacks na viburudisho vingine vimekaa kibajeti sana, nyumbani wala hakuwezi kunoga. Kwahiyo lazima tupoteze muda nje ya majumba yetu.
Kwa ujumla kikubwa ni Mazingira ya nyumbani si rafiki baada ya kazi za kutwa, si rafiki kwa weekends pia option ni moja tu kwa baadhi ya watu KAZINI-BAR hadi mida ya wanga then home kulala kidogo, morning kali unatoroka kwako tena……
Unakunywa pombe aina ya dadu na miguu ya kuku ya kukaanga ndio kusema unakula bata jamaa acha masihara
Hatukuoni lakini si kila mtu ni mwendaji bar kunywa.Jambo Jambo?
Yani unakuta mwanaume ana midevu, mwili mkubwa ila Mke wake kamwambia USITOKE anamtii mke wake na anatetemeka kabisa.
Watu sasa hvi tuko vyombo.
Wanaume Tunaojitambua tuko bar tunakata bapa kubwa, Vant, Serengenti na kadhalika huku supu ya kuku na mbuzi katoliki tukisindikizwa na mabusu mazito kutoka kwa Mademu pemben yetu.
Wewe mwanaume Uko ndani unajifanya unachati na mchepuko mkutane kesho wakati mchepuko wako tuko nao huku.
Sisi tumeoa ila wake zetu wanajua kuwa “AN AFRICAN MAN IS ALWAYS UNPREDICTABLE WHEN IT COMES TO PUSSIES”
Eti wewe umekaa hapo kitandani na mechi wife kakunyima unanuuunaaa.
Wengine eti wanawahi kurudi kisa mke wake asimshutukie alivyotoka kwa mchepuko anasahau kuwa
“A BLACK MAN SI ALWAYS SUSPECTED”
Wengine wanajifanya magentlemen eti huwa hatoki usiku anaspend muda na wife na watoto, Sikiliza na sisi tuna familia, nawapa time monday to friday this 2 days are mine.
Aya vuta shuka ukojoe ulale sawa?
Cheers kwa wale ambao mko viwanja mida hii lets enjoy guys life is too short.
View attachment 2612606
Nshomile
Nikiripoti kutoka
Choma zone,Kahama Tanzania
📌ulimbukeni
[emoji419]