Unakuta Mwanaume anavuta shuka muda huu, Wenzie tunaponda maisha bar

acha makasiriko na utulie ndani

unajifanya unaandika hadithi ndefy kama una uwerevu kumbe ni Mpumbavu tu

Nisikilize hakuna ulichoandika zaidi ya pumba hapo

Mpumbavu ww
You're suffering from mental illnes,wahi matibabu mapema kabla hali yako haijwa mbaya zaidi.
 
Are you for real, or just trolling?

Watanzania wengi kama mtoa mada ni watu wa kuishi kwa kufuata mkumbo.

Yani hawana uwezo wa kufanya kitu kama kuheshimu individuality ya mtu. Wanaishi kama watu wote wanatakiwa wapende vitu vilevile.

Yani unakuta mtu kama mtoa mada yeye kafuata mkumbo wa kupenda kukaa bar, halafu hata haelewi kwamba watu tofauti wana interests tofauti.

Anafikiri kila mtu anatakiwa kupenda kukaa bar.

Yani hapo ndipo mawazo yake yalipoishia.

Ni ulimbukeni tu.
Kiranga wewe nenda tu huko kwenye Yale mambo yako magumu magumu, kama mijadala ya uwepo wa Mungu, na mengineyo ya kisayansi. Waite maswahiba wako akina nyani ngabu,mshana jnr, faiza fox, DaVinci, Pasco bila kumsahau mmadenyi
 
Hata hayo si magumu.

Ni wewe tu unayafanya yaonekane magumu.
 
IMG_20230112_131132_080.jpg

Tasia Pub iko upande gani hiyo?
IMG_20230112_131132_080.jpg
 
Jambo Jambo?

Yani unakuta mwanaume ana midevu, mwili mkubwa ila Mke wake kamwambia USITOKE anamtii mke wake na anatetemeka kabisa.

Watu sasa hvi tuko vyombo.

Wanaume Tunaojitambua tuko bar tunakata bapa kubwa, Vant, Serengenti na kadhalika huku supu ya kuku na mbuzi katoliki tukisindikizwa na mabusu mazito kutoka kwa Mademu pemben yetu.

Wewe mwanaume Uko ndani unajifanya unachati na mchepuko mkutane kesho wakati mchepuko wako tuko nao huku.

Sisi tumeoa ila wake zetu wanajua kuwa “AN AFRICAN MAN IS ALWAYS UNPREDICTABLE WHEN IT COMES TO PUSSIES”

Eti wewe umekaa hapo kitandani na mechi wife kakunyima unanuuunaaa.

Wengine eti wanawahi kurudi kisa mke wake asimshutukie alivyotoka kwa mchepuko anasahau kuwa

“A BLACK MAN SI ALWAYS SUSPECTED”

Wengine wanajifanya magentlemen eti huwa hatoki usiku anaspend muda na wife na watoto, Sikiliza na sisi tuna familia, nawapa time monday to friday this 2 days are mine.

Aya vuta shuka ukojoe ulale sawa?

Cheers kwa wale ambao mko viwanja mida hii lets enjoy guys life is too short.

View attachment 2612606

Nshomile
Nikiripoti kutoka
Choma zone,Kahama Tanzania
Enjoy ndugu tupate tume nzuri ya kumzagamua mkeo
 
Mkumbuke tu kufanyiwa Dialysis ni laki 3 kwa week.
 
Back
Top Bottom