Unakuta Mwanaume anavuta shuka muda huu, Wenzie tunaponda maisha bar

Unakuta Mwanaume anavuta shuka muda huu, Wenzie tunaponda maisha bar

kumbe we jamaa ni mshamba aisee.

Kahama pekee kuna ndinga za kufa mtu, unadhani hizo premio za walimu na madaktari wa huko dar..... Mzeee kahama kuna hela
Kusema kahama kua na premio nyingi ni ushamba??
Kwahyo nikisema Kahama kuna magari makali ndio ujanja..
Ujanja wa mtu unapimwa kwa kusifia jambo??
 
Nipo home Budget leo hakuna live band NEMC wamewapiga pini. Niko najikumbushia mkanda wakomando john na tumaji tupo natuvuta kutoka freezer. Na mi mshamba?
Hivi live band zimezuiwa? Ndiyo maana kumekuwa kimya. Hakuna makelele kabisa, ila sehemu nyingi walizidi mpaka saa 11 alfajiri. Japo ni mpenzi wa live band bora tupumzike kidogo.
 
Jambo Jambo?

Yani unakuta mwanaume ana midevu, mwili mkubwa ila Mke wake kamwambia USITOKE anamtii mke wake na anatetemeka kabisa.
Watu sasa hvi tuko vyombo.

Wanaume Tunaojitambua tuko bar tunakata bapa kubwa, Vant, Serengenti na kadhalika huku supu ya kuku na mbuzi katoliki tukisindikizwa na mabusu mazito kutoka kwa Mademu pemben yetu.

Wewe mwanaume Uko ndani unajifanya unachati na mchepuko mkutane kesho wakati mchepuko wako tuko nao huku.

Sisi tumeoa ila wake zetu wanajua kuwa “AN AFRICAN MAN IS ALWAYS UNPREDICTABLE WHEN IT COMES TO PUSSIES”

Eti wewe umekaa hapo kitandani na mechi wife kakunyima unanuuunaaa.

Wengine eti wanawahi kurudi kisa mke wake asimshutukie alivyotoka kwa mchepuko anasahau kuwa

“A BLACK MAN SI ALWAYS SUSPECTED”

Wengine wanajifanya magentlemen eti huwa hatoki usiku anaspend muda na wife na watoto, Sikiliza na sisi tuna familia, nawapa time monday to friday this 2 days are mine.

Aya vuta shuka ukojoe ulale sawa?


Cheers kwa wale ambao mko viwanja mida hii lets enjoy guys life is too short.

View attachment 2612606



Nshomile

nikiripoti kutoka
Choma zone,Kahama Tanzania
"A black man is always suspected".. kweli kabisa
 
kumbe we jamaa ni mshamba aisee.

Kahama pekee kuna ndinga za kufa mtu, unadhani hizo premio za walimu na madaktari wa huko dar..... Mzeee kahama kuna hela
😅😅😅jamaaumewachana. Walimu uwezo wa premio umewapa heshima hawana.
 
Nyie mnaoongoza kupiga picha ndo wale wazee wa ofa kazi kujichekesha na kuibua stori za abunuwas ili anaekununulia asikuchoke

mzee mm siyo kama ww jobless,sawa?

Sina shida kama unavyo dhani badala ya kuleta makasiriko lete kende hizo hapa nkuchape na bia
 
Back
Top Bottom