.Hio bajeti ya Hizo bati zilizo kimbia juu kama mt. Kilimanjaro si ndio ungetengeneza ka-study room kakiaina kenye mini -library mshenzi.
Ila nitaishia kuambiwa: " TAFUTA HELA WEWE MATEMBELE HAYANA LADHA YA NYAMA"View attachment 3338972
Tunakwepa mavi ya yale mandege kuozesha bati. Chukua Hiyo.Mijengo ya Kanda ya ziwa ndo design yao hii
AiseeKatika kitu Watanzania wengi hatujui ni ubunifu.
Mimi nyumba yangu ipo tu kinamna haifanani na nyumba yoyote.
Because I made a story when designing it.
Na imetokea kitu kimoja amazing sana.
Haijasha ila one thing najua for sure. Ikiisha ni balaa.
Wengi wamekariri
Nyumba ni jiko, sebule, dining, public toilet, master bedroom , milango 2 ya mbele na jikoni, madirisha na baraza.
Kamaliza.
Yangu iko na kids library, dressing room, milango 3, big windows, balconies 2, ya juu(nimetumia slub ya front porch kuweka balcony juu do kuna ngazi pembeni ya hiyo baraza ya mbele.
Jiko kubwa na ni open kitchen yenye pantry.
2 Master bedrooms na bathrooms kubwa zote kubwa.
1 ensuite yenye prayer room, dressing room kubwa, bathroom kubwa, private balcony yenye view ya migomba na miembe kwa nje, madirisha makubwa sana 3 na security window inayoface main entrance.
See the story?
Nje ni exotic garden ambayo hunisahaulishs kabisa ninaishi Dar es salaam.
Sebule ni kubwa yenye nafasi mno na madirisha makubwa 6.
Ni kweli inanila hela na ninaijenga taratibu sina presha nakaa humo tayari.
Bado skimming, rangi na vioo.
Ila najua ikiisha ah weeeeeh noma sana
Af ndani vitu vichacheee.
Ni uthubutu nilifanya, futa hii vunja hiki , bomoa hii, ila mwishowe its worthy.
Na nilidesign mwenyewe kuanzia mwanzo.
Nimesimamia mwenyewe, ujenzi wa kusimamiwa na sisi wa kinamama mafundi wanatupiga sana ila fresh.
Wanashindana fahari ya macho kwamba akiwa mbali aseme nyumba yangu ileeeeeer!Hio bajeti ya Hizo bati zilizo kimbia juu kama mt. Kilimanjaro si ndio ungetengeneza ka-study room kakiaina kenye mini -library mshenzi.
Mimi pia nyumba yangu nilibuni kila kitu mwenyewe.Katika kitu Watanzania wengi hatujui ni ubunifu.
Mimi nyumba yangu ipo tu kinamna haifanani na nyumba yoyote.
Because I made a story when designing it.
Na imetokea kitu kimoja amazing sana.
Haijasha ila one thing najua for sure. Ikiisha ni balaa.
Wengi wamekariri
Nyumba ni jiko, sebule, dining, public toilet, master bedroom , milango 2 ya mbele na jikoni, madirisha na baraza.
Kamaliza.
Yangu iko na kids library, dressing room, milango 3, big windows, balconies 2, ya juu(nimetumia slub ya front porch kuweka balcony juu do kuna ngazi pembeni ya hiyo baraza ya mbele.
Jiko kubwa na ni open kitchen yenye pantry.
2 Master bedrooms na bathrooms kubwa zote kubwa.
1 ensuite yenye prayer room, dressing room kubwa, bathroom kubwa, private balcony yenye view ya migomba na miembe kwa nje, madirisha makubwa sana 3 na security window inayoface main entrance.
See the story?
Nje ni exotic garden ambayo hunisahaulishs kabisa ninaishi Dar es salaam.
Sebule ni kubwa yenye nafasi mno na madirisha makubwa 6.
Ni kweli inanila hela na ninaijenga taratibu sina presha nakaa humo tayari.
Bado skimming, rangi na vioo.
Ila najua ikiisha ah weeeeeh noma sana
Af ndani vitu vichacheee.
Ni uthubutu nilifanya, futa hii vunja hiki , bomoa hii, ila mwishowe its worthy.
Na nilidesign mwenyewe kuanzia mwanzo.
Nimesimamia mwenyewe, ujenzi wa kusimamiwa na sisi wa kinamama mafundi wanatupiga sana ila fresh.
Nilidhani Master ni zile zenye en suite bathrooms. Hiyo en suite yenye prayer room ikoje? Ina tofauti gani na Master?Katika kitu Watanzania wengi hatujui ni ubunifu.