Unakuta tunajenga nyumba bati imeenda juu kupita maelezo ila watoto wanafanyia homework dining room

Hio bajeti ya Hizo bati zilizo kimbia juu kama mt. Kilimanjaro si ndio ungetengeneza ka-study room kakiaina kenye mini -library mshenzi.

Ila nitaishia kuambiwa: " TAFUTA HELA WEWE MATEMBELE HAYANA LADHA YA NYAMA"View attachment 3338972
Ndo raha yake ilipo kiongozi, hapo akiona hivo roho yake kwatuuuuu.

amesema akipata ela hataki kushauriwa
 
Kumbe nipande, kuna mtu aliniambia miti yake hufuata nyumba kumbe si kweli.
kama ni site tu hujajua bado nyumba inapokuwa panda minne, kila pembe ya mpaka weka mdodoma, ingia ndani kidogo kupisha eneo la ukuta.
Ukishaset idea ya mji wapi kiwe nini, unaweka mmoja katikati, imeisha hiyo
 
Tayari nilishajenga mkuu nina miti zaidi ya kumi. Huo mti nilitokea kuupenda nafasi ipo.
 
Hio bajeti ya Hizo bati zilizo kimbia juu kama mt. Kilimanjaro si ndio ungetengeneza ka-study room kakiaina kenye mini -library mshenzi.

Ila nitaishia kuambiwa: " TAFUTA HELA WEWE MATEMBELE HAYANA LADHA YA NYAMA"View attachment 3338972
Unajua faida za kuinua bati wima namna hiyo 🙄 ...kuna faida mojawapo ni kuzuia bati kuchakaa maana maji na vumbi utililika haraka na kufanya kukauka mapema...mbili kupunguza joto ndani ya nyumba ....kuhusu kusahidia bati kudumu ni kwamba zipo nyumba paa zake zimelala hata ukitupa ganda la ndizi linabaki juu na majani yakitua juu yake yanabaki hivyo kuozesha bati
 
Tayari nilishajenga mkuu nina miti zaidi ya kumi. Huo mti nilitokea kuupenda nafasi ipo.
Ni
kama ni site tu hujajua bado nyumba inapokuwa panda minne, kila pembe ya mpaka weka mdodoma, ingia ndani kidogo kupisha eneo la ukuta.
Ukishaset idea ya mji wapi kiwe nini, unaweka mmoja katikati, imeisha hiyo
Hivi huu si ndio mdodoma au
 
Sopendi paa ndefu ni gharama ya Bure,na pia nyumbani inaongezeka uzito na baada ya muda inaanza kupasuka mi paa langu la kizamani tu
 
mimi hapa nimechukua tu kila kitu kubwa,kubwa,kubwa
 
Umesema Sebule ni kubwa na yenye nafasi mno na Madirisha yake Makubwa ndio jumla yapo 6? Hii Sitting ina ukubwa wa vipimo Gani? Yangu Ina 4.5M x 6M Lakini Dirisha ni 3 tu 🥹
Nimejaribu kuchora hapa haraka haraka invyoonekana .

Vipimo sina hakika but gone like 7×7 madirisha ya sebuleni hayo ya vyumbani ni makubwa zaidi.
Ninapenda mwanga mkubwa na hewa nyingi ndani.
 
Attachments

  • 20250520_120908.jpg
    594.2 KB · Views: 29
Ina green nzuri snaa.
Sana sana na haipauki mwaka mzima.
Hauna wadudu wala sijui nn.

Kwa kweli ni mti ninaupenda mno.

Nna mpango nipande mtaani kwetu af kila nyumba wauhudumie.
Next 3 yrs patakuwa bomba sana
 
Wenzentu wakiweka vyumba kule juu huwa wanafanyaje au ndo joto la afrika itakuwa balaa!!

Ac?
Nimeelewa inavyoweza kuwa ngumu kwa nchi za kitropiki zetu
Ni hali ya hewa inaruhusu this is africa boss
 
Umesema Sebule ni kubwa na yenye nafasi mno na Madirisha yake Makubwa ndio jumla yapo 6? Hii Sitting ina ukubwa wa vipimo Gani? Yangu Ina 4.5M x 6M Lakini Dirisha ni 3 tu 🥹
hapo kwenye vipimo ndo ntafeli kusema , ila ni vile haina korido wala ukuta mwingine in between.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…