Unakuta tunajenga nyumba bati imeenda juu kupita maelezo ila watoto wanafanyia homework dining room

Sana sana na haipauki mwaka mzima.
Hauna wadudu wala sijui nn.

Kwa kweli ni mti ninaupenda mno.

Nna mpango nipande mtaani kwetu af kila nyumba wauhudumie.
Next 3 yrs patakuwa bomba sana
Ashante mkuu

So inachuua 3 years kuwa mkubwa ?
 
sijui mijengo hiyo wanaipendea nini kiukweli mjengo wa muundo huo sijawahi upenda asilani.
 
Picha ingelikuwa bora zaidi kama hutajali
 
Usisahau na mbu, siku
 
Umeniboa hapa
 
Kwa sababu hautaki kufa?

Amandla...
Hapana! Kila timu icheze mechi zake. Ukizoeza watoto urithi unajiletea balaa kwako. Kila mtu anatafuta vyake na hakuna kurithi. Tatizo ni maana ya urithi kwetu waafrika, siyo sawa na wahindi ambao urithi ni kuendeleza. Sisi kutokana na ubinafsi, urithi ni kuuza ili kuanzisha cha kila mtu kivyake.

Katika mawazo kama hayo, hakuna mwendelezo na kila siku ukoo unapiga makitaimu
 
Muund wa paa yeny muinuko husaidia sana kukta upepo ndo maan nyumba za ain hii zipo sana kanda ya kati mwa Tanzania
 
Hakikisha isiwapukutishie majani majirani.
 
Nataman kuiona
 
Mkuu post yako imenichekesha kweli….especially paragraph ya mwisho. Yaani najenga nyumba nikiwa nawafikiria warithi? Dunia inaenda kasi sana aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…