Unakuta tunajenga nyumba bati imeenda juu kupita maelezo ila watoto wanafanyia homework dining room

Mkuu post yako imenichekesha kweli….especially paragraph ya mwisho. Yaani najenga nyumba nikiwa nawafikiria warithi? Dunia inaenda kasi sana aiseeee
Hapo kale tulikuwa tunajenga nyumba ili tuwe na kitu cha kuiachia familia. Ndio maana nyumba ya urithi ilikuwa haiuzwi. Siku hizi hizo nyumba zimekuwa zikileta matatizo sana ndani ya familia. Wakati mwingine ni bora ukiona umri unaenda, uiuze halafu upange. Uzuri wa vijana ni kuwa hawawazi kifo.

Amandla...
 
Igweeeeeeeeeeee 🫡
Mi napenda wanawake tukiwa na nyumba zetu kali na nzuri…!!
Ikiisha tupia picha ili wanaume wajinga wanaojiliza na vimali vyao uchwala wajionee..!!
 
Naomba hiyo design mwanawane.
 
Mna hela bwana msiseme ubunifu tuu pekee. Wee mwezangu na mie ugali maharage mpaka mbupuz zivuje jasho nitawaza hayo mambo ya balcony hewani
 
Igweeeeeeeeeeee 🫡
Mi napenda wanawake tukiwa na nyumba zetu kali na nzuri…!!
Ikiisha tupia picha ili wanaume wajinga wanaojiliza na vimali vyao uchwala wajionee..!!
Mtajitutumua tuu ila wanau.e ndio wenye hela...nyie mmebarikiwa mbususu tamu mshukuru kwa hilo
 
Wewe ulifanya kama nilivyofanya mimi.

Kudesign namna compound itakavyokuwa miaka 3 kabla ya kuanza ujenzi nikapanda miti kwa mpangilio na ramani nikachora mwenyewe.

Kuja kujenga na kuhamia, jamaa wasiojua, eti: 'wee jamaa umepata bahati sana, unenunua kiwanja ukakuta na miti kabisa'!

Nyumba unayodesign mwenyewe haichoshi kuishi.
 
Hio bajeti ya Hizo bati zilizo kimbia juu kama mt. Kilimanjaro si ndio ungetengeneza ka-study room kakiaina kenye mini -library mshenzi.

Ila nitaishia kuambiwa: " TAFUTA HELA WEWE MATEMBELE HAYANA LADHA YA NYAMA"View attachment 3338972
Kwani kila nyumba ina watoto? Naweza nikapandisha paa halafu nikampangisha msela
 
Watanzania wengi ni wajinga na wanatamaa sana
Acha iyo yako sasa kuna hii mtu anakiwanja cha 35/20 kajenga apartament 5adi 6 na kila nyumba inavyumba 3

Sasa unajiuliza hao wapangaji watapaki magari wap, watafua na kuanika nguo wap, watoto wa wapangaji wao watacheza wap na km ikitokea sherehe au msiba kwa mpangaji hao wageni au waombolezaji watakaa wap

Yan tumejawa na tamaa atuangalii ata hao wapangaji wetu wataishi ktk mazingira yap
 
Lazima mtu anapojenga uangalie mbele zaidi, kila kitu kiwe na mpangilio wake ili kuondoa bugudha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…