The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Unazimudu na kuzitatua vipi?
🤔
🤔
Kuwapata hao labda uwe mganga wa kienyeji au nabiiWateja wa kike. Wengi wao ni wagumu kuachia hela, item cheap bado atalialia umpunguzie bei tofauti na wateja wa kiume.
Changamoto:
Funga. Anza kuokota chupa za plastic kama yule Cheka bondia.Muda wa kulala hamna nafungua saa 12 nalala saa saba ucku, jinsi ya kulitatua hili tatizo sijui
Hapo natatua tatizo au naongeza mkuuFunga. Anza kuokota chupa za plastic kama yule Cheka bondia.
Gawa mbunye hiyo mwanangu. Ila usiweke dau kubwa 10000 tu inatosha.Natongozwa sana,
Wachawi wanajambia biashara yangu kila siku!!!Natongozwa sana,
Nimeiona hili na mimi.Wateja wa kike. Wengi wao ni wagumu kuachia hela, item cheap bado atalialia umpunguzie bei tofauti na wateja wa kiume.
DuhUaminifu ni Janga la Taifa kubabake !!!!!!!
Pia usnichi ..........
Funzo !
Kamwe usijenge urafiki eneo la kazini kwako, Wafanyakaz wenzio wabakie kuwa wafanyakazi ! Pia kama una mbanga zingine tofauti na job yako make sure hakuna mfanyakazi mwenzio atakayejua... watu hatupendani!
Kama hamna ulazima, Wafanyakaz wenzio wasijue kwako unapoishi ....
Na log out
Kwanini😂😂,pesa zao zinaliwa na manabii😂😂Kuwapata hao labda uwe mganga wa kienyeji au nabii