Unakutana na changamoto gani katika biashara / kazi inayoifanya sasa?

Nimeiona hili na mimi.
Wanawake sijui hela zao wanapeleka wapi. Nyumbani hawana hela na barabarani hawana hela. Ila kuna wachache wanajua nini cha kufanya na hela zao, hawaogopi kutumia pesa na wamekaa kipesapesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…