Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
- Thread starter
- #21
Point kabisa mkuu.. Nakubali.Wewe kama umeamua kuajiri wanawake kwenye kazi basi inabidi ujipange na backup staff wakutosha.
Saa yoyote anaweza kukwambia najisikia vibaya, ninaumwa, nina matatizo fulani nk.
Lakini ukipata mwanamke chuma (iron lady) unaweza kuenjoy sana kazi zako. Na hao ni wachache sana.
Kwa uzoefu wangu mdogo, wanawake wengi huwa wanafiti kwenye hizi kazi, na wanazipenda sana.
-Reception.
-Office secretary.
-Accounting.
-Office maid/Attendance.
-Legal officer.