Unakutana na Changamoto gani unapofanya kazi na Dada/Mama zetu!

Point kabisa mkuu.. Nakubali.
 
Ahahahahaha
 
Ukiajiri single maza mwenye watoto wakubwa kiasi wa kiume wasio wakorofi, wako shule. Alafu ana akili na ametulia hautokaa ujutie nakwambia.
Unaweka mtaji unakaa kitako kila kitu kinaenda automatic, no excuse sijui mume kafanya hivi sijui shemeji kakutembelea.
 
Ila kuna wanawake wavivu aise, alafu kwa makusudi kabisa hataki kujishuhulisha ndio ivyo kashaamua kuwa tegemezi.

Mwanamke anaweza kukuvuna nguvu hadi ukasema poo na bado atakuona boya wake.
 

Hapo kwenye legal officer labda awe wakwenda kuhold brief mahakamani, research hao viumbe wengi wazinguaji sana

Kweli kuna wanawake wanapiga kazi ila ni wachache sana ila ukikutana naye kweli utafurahi
 
Kabisa mkuu, wanawake wengi hawajui kutofautisha personal life ya mtu na maisha mengine ya mtu ya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…