ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mkuu ishi maisha yako na pia mwanaume usiangalie madada. Dada kesho anaweza kupata kibosile akaolewa au hata kama si kibosile si wanasema mwanaume ndiye mwenye majukumu pesa ya mwanamke ya mwanamke tu.Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Kwani hujui kabla hajasafiri Kuna mdau anakuwa ameshamfanyia booking na kugharamia Siku zote atakazokaa?Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Lodge zetu ni bus za usikù....kama unakas siku 1 kugeuka hakuna kulala......Gari za usiku zipo unalalaje Lodge? Safiri usiku haina kulala.
Wewe inakuhusu nini maisha ya mtu....Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Labda kama hujui Hotel ni nini. Hakuna hotel utalala kwa hiyo 80 ni vilodge uchwara tuHakuna lodge ya elfu 80 hizo ni Hotel hata kama ukiona imeandikwa Lodge tena hotel kubwa
Mnaosafiri usiku mna vipaji nlisafiri mara Moja sitakaa nirudiGari za usiku zipo unalalaje Lodge? Safiri usiku haina kulala.
Perdiem toka mwka jana junior ni 170 na senior ni 250. Tulikuja zanzibar mm peke yangu nililala kwenye Lodge elf 20 migombani na haikusaidia mana niliomba kuketewa nyash nikalipa 40k per nightMtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Waume wengi wenye pesa mtu wake akisafiri hawataki pate shida hivyo hukipia wenyewe best hotels hivyo vihela vyake vya per diem aende navyo saloon hukoMtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Unaelewa tofauti ya lodge na hotel?Hakuna lodge ya elfu 80 hizo ni Hotel hata kama ukiona imeandikwa Lodge tena hotel kubwa