Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Keep youself expensive na utakuwa expensive popote.Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Hata kama ni train panda first class, acha kula supu za bukubuku mitaani, agiza hata mihogo uletewe ofisini unywe na chai.
Tengeneza expensive image, hakuna atakayekuchukulia cheap.