Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Labda atakuwa bado anajitafuta!Hela ya perdiem sio ya kununulia tofali mjomba ๐๐ pumzisha mwili huo ufanye kazi kiufanisi, kesho wakutoe tena kazi za nje ulambe perdiem nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda atakuwa bado anajitafuta!Hela ya perdiem sio ya kununulia tofali mjomba ๐๐ pumzisha mwili huo ufanye kazi kiufanisi, kesho wakutoe tena kazi za nje ulambe perdiem nyingine.
Bwege huyo mleta madaa apambane na hali yakeNaona umeamua kupangia watu maisha
Inategemea mkuu......๐๐SAwa sawa.. nimeuliza tu, maana mi huwa nalala kwenye basi mpaka kukuche..nikiamka naogea mabafu ya stand shi 500๐
Hotel mwenzako anaelewa ni kina Gran Melia na. Mount Meru tu ๐๐Ila na wewe ni ka ndezi tu! Mbona pale double view hotel 80k unapata room! Au hiyo nayo ni lodge? AR mbona hotel za 80 zipo kibao tu!
Mkuu hotel zina vigezo ambavyo inatakiwa kuwa navyo ili iitwe hotel. Sasa bongo mtu lodge anaita Hotel. Hotel ina vigezo vyake sio genge la kuuzia supu ya mapupu mtu anakuambia ni hotelIla na wewe ni ka ndezi tu! Mbona pale double view hotel 80k unapata room! Au hiyo nayo ni lodge? AR mbona hotel za 80 zipo kibao tu!
Kwanza kajifunze maana ya neno 'at least'Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Hili ndilo jibu la swali lako.Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Usishindane na mwanamke.Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Sema ulitaka mshare room akachomoa ๐Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
80 hizo ni lodge tu hamna hotel humoHotel mwenzako anaelewa ni kina Gran Melia na. Mount Meru tu ๐๐
Wakati kuna 5*, 4* na 3*
Nyota 3 mostly room ni 80k
Kalipiwa hapo.Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
UongoMkuu hotel zina vigezo ambavyo inatakiwa kuwa navyo ili iitwe hotel. Sasa bongo mtu lodge anaita Hotel. Hotel ina vigezo vyake sio genge la kuuzia supu ya mapupu mtu anakuambia ni hotel
Lazima utoke na mbegu hapo (Kunguni)Buguruni hapa hapa sokoni kuna Guest ya kulala 8,000/=
Nilienda kuulizia mida ya saa nne akasema nilipe 6000.
Hotel ina standards zake bana. Sema tu wabongo tunatoaga majina bila kujua tunatakiwa tuite hotel ikiwa na standards ganiUongo
Nikufate hapo nikupeleke hotelini?? Ya room za elf 80?? Neat and calm environment
Uko sahihi kabisaaa.Inategemea mkuu......๐๐
Kama upo 'comfortable' kulala kwenye siti ya gari ukiwa umekaa mpaka asubuhi Kisha ukaoga na kwenda moja kwa moja eneo la kazi sio vibaya.
Inaweza kuwa njia nzuri ya kufanya 'saving' ila safari ni sehemu ya kuenjoy kidogo na kushangaa kiaina hata kama ni ya kikazi hivyo sio mbaya ukilala hata lodge ya 40,000.
Ujinga Tu MTU ana laptop ya ofisi analala guest uchwara anaiweka chini ya godoro na hela akiogopa vibaka badala ya Kulala hotel classic mwajiri kalipa pesa nzuri kwenye eneo safe hata ukiacha laptop na pesa ndani ukaenda kulewa vyote unavikuta SalamaKabisa, tena hata kiusalama (mali zako au za ofisi) panafaa kabisa
Mbona mambo ya kawaida hayo tembea uone, kuna jamaa yangu Goba ana nyumba ya kawaida tu ya vyumba vitatu ana Nissan Patrol V8 na ana Landcruiser V8. Kuna mwamba alipanga Makongo kwa mwaipopo alikuwa na GMC pickup na V8 ya 2014. Kuna mwingine alienda kutembea dubai wakati hana hata kiwanja hapa Tanzania.Wasukuma ndio wanatia fora katika hili. Ukipata hela mipango unaisahau.Ukitaka uikumbuke inabidi uiache hela ipumue. Siwalaumu lakini kila mtu ana vipaumbele vyake ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ .Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Mkuu, Fake life ni mbaya na usipokuwa na kiasi jamii inakuweka kwenye nafasi isiyo yako na utateseka mno.Keep youself expensive na utakuwa expensive popote.
Hata kama ni train panda first class, acha kula supu za bukubuku mitaani, agiza hata mihogo uletewe ofisini unywe na chai.
Tengeneza expensive image, hakuna atakayekuchukulia cheap.
Dah!.... hatari hii...Mkuu, Fake life ni mbaya na usipokuwa na kiasi jamii inakuweka kwenye nafasi isiyo yako na utateseka mno.
Naomba nikupe mfano hai kabisa:
Nina rafiki mmoja ailikuwa na shida ya kipato kwa muda na alikuwa tayari kufanya kazi yoyote ya kuajiriwa ili ajikwamue.
Tatizo lilikuwa ni namna anavyojiweka, high class person, mtu smart mwenye uelewa mpana wa mambo na somehow aliweza kuihadaa jamii inayomzunguka katika hili sababu ana mwili wa kiutu uzima amesoma na anajiweka smart sana na pia anajua jua vitu ila ndo hivyo kazi ya kudumu hapati sijajua sababu, huwa anapata dili za hapa na pale za kupewa asante.
Nakumbuka siku moja kuna director mmoja akamfata manager wa taasisi fulani ya fedha ambaye alikuwa karibu na huyu kijana, huyu director naye anamfahamu huyu kijana kuna ushauri alishampa ukaenda vizuri sana ila hana ukaribu nae hivyo akataka kumtumia manager ambaye ndo alimuunganisha ampe ushauri ili ikiwezekana kijana afanye kazi zake Full Time. Ni sehemu ambayo asingekosa mshahara hata wa 2M maana wafanyakazi wa hiyo ofisi wa kawaida tu wanalipwa vizuri na ofisi ina matawi mikoa kama mi4 nadhani.
Nilikuwa ofisini kwa huyo manager siku hiyo nikimsaidia kazi fulani, exactly maneno ya yule manager akimjibu director yalikuwa huwezi kumlipa huyu labda akusaidie ushauri tu. Ngoja nitakupatia mtu.
Hii niliishuhudia na nikasikitika maana najua jamaa anahitaji kazi hata ya laki5. Baadae Nikamwambia manager jamaa anaweza kuajiriwa maana hana ajira manager akasema yaah, hana ila najua kazi zake binafsi zinamlipa.
Baadae tukashauriana na jamaa amtafute director bila yule meneja, kweli akamtafuta, director akamkaribisha ofisini kwake, tatizo likarudi pale pale kujibrand kupitiliza, Director akamuomba awe sehemu ya board ya ushauri jamaa akakubali, sasa hiyo board inakaa kwa mwaka mara 2 au inaweza isikae na malipo ni posho tu za kikao kama wakikaa. Uzuri kama kuna jambo la kushauri kwenye field yake huwa anapigiwa simu na ndipo anapataga pesa za asante, laki au laki mbili ila inatokea mara chache.
Sasa hivi ana hali mbaya zaidi maana amejiingiza kwenye kamari za mitandaoni, akipata pesa mbio kwenye sijui slots za sokabet.
Tunapambana nae maana umri umeenda haajiriki tena kama vijana fresh from school, hana cv inayoonyesha ana uzoefu wa nafasi fulani ya kazi na bado ameshindwa kuachana na tabia ya kujiweka kwenye nafasi asiyokuwa nayo. Ni rahisi kumkuta akinywa kahawa na watu wakubwa tu halafu baadae akakuazima elfu ishirini.