Unalalaje lodge ya 80,000 na bado hujajipata

Unalalaje lodge ya 80,000 na bado hujajipata

Dah!.... hatari hii...

Ila kuna mazingira inabidi ujiweke 'low profile ' Ili uishi ila usijishushe kupindukia.
Kabisa mkuu. Kila kitu kwa kiasi. Usijishushe ukadharauliwa ila pia usijipandishe watu wakaamini huhitaji msaada, umekamilika.
 
Jibu ni ndiyo.
Na zinatofautiana pia na mkoa/ jiji
Perdiem ya mkoa haifanani na perdiem ya jiji.

Serikalini sijui
Wakuu Mimi naomba hiyo PDF ya serikali yenye muongozo wa malipo ya Perdiem kwa siku ili watu tujue,, isije ikawa tunapigwa mzee kumbe Perdiem ni hela nyingi si tunaandika kiduchu😃
 
Anapewa per diem ya kawaida, analala hiyo lodge lakn halipi yeye analipiwa na sponsor
 
Usishindane na mwanamke braza
Hata wewe na mimi hili nilichunguza wakati nasoma sekondari na dada yangu
Baba yangu alikuwa anampa matumizi dada yangu kuliko mimi
wewe hujiongezi hapo jamani
Mahitaji ya mwanamke ni zaidi ya mwanaume wewe usipopaka mafuta siku zinawenda kwa mwanamke sio hivyo
Msuko wa mwanamke tu wewe ni per diem yako.
Kumbuka dada zetu kila mwezi wanakwenda hedhi hiyo ni gharama pia
wewe unaweza vaa nguo ya ndani mwezi mzima mwanamke hawezi rudia nguo ya ndani mara mbili.
Wewe hata usipooga sio shida mwanamke ni wajibu kuoga hata wale wa mufindi na makambako
.
acha kuchunguza nyuki anatumia formula gani kutengeneza asali utachanganyikiwa
Wazungu na akili zao nyingi hadi leo hawawezi kutengeneza asali japo formular inajulikana
Utaonekana mchawi
 
Sahihi huko hata akitongozwa kwenye elfu 80 atapata MTU WA maana kuliko huko kwenye vilofa katoka navyo ofisini vilala guest za elfu 40 vibahiili vibana hela Ku save

130,000 nayo ni hela hata ukisema Una save yote unalala kwenye mtaro utajenga ghorofa?

Mleta mada ana pepo la umaskni hongera Kwa huyo dada Kulala chumba cha elfu 80

Mungu amjalie kama hajaolewa apate wa kumuoa WA kiwango hicho cha elfu 80 sio WA kiwango cha elfu 40
Aisee!
 
Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Angekua mwanaume shangao lako lingekuwa la maana..ila kwa wanawake..
 
Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
mi nalala eti had laki nalala
ukifa kesho je??
 
Wanaoishi na wewe kazi wanayo tena kubwa!!
Naona mshikaji bado ana mhemko, papara,mchecheto, ulimbukeni, ushamba n.k kwenye ajira yake mpya! Inaonekana alisota sana mtaani! Pitia mada zake utaona majivuno,dharau na kiburi kisa kapata kazi!
 
Sasa wewe inakuuma nini yeye akitumia hela yake kwa mambo anayoyataka yeye..? Hahah
Wanaume kama mabinti
 
Sisi tunalipiwa 5 star hotel, plus daily allowances. Kila mfanyakazi ana master card kwa ajili ya kulipia malazi. Ukiwa nje ya nchi unaitumia pia kwa malipo ya taxi na public transport
Naona huyu jamaa anajizima data tu!
 
Hela ya perdiem sio ya kununulia tofali mjomba 😂😂 pumzisha mwili huo ufanye kazi kiufanisi, kesho wakutoe tena kazi za nje ulambe perdiem nyingine.
Asante expert🤣
 
Vitu vya bei rahisi ni shida tupu , unalala chumba Choo kinanuka kama nini! Siwezi nikalala kwenye huo uchafu.
 
Back
Top Bottom