Unalalaje lodge ya 80,000 na bado hujajipata

Unalalaje lodge ya 80,000 na bado hujajipata

Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
by the usishindane na mwanamke unaweza kuta hata hiyo hela aliyelipa ni boss wako.
 
Marehemu babu yangu aliwahi kuniambia "mjukuu wangu KAMWE usishindane na mwanamke", nilimuuliza alimaanisha nini, akanijibu......mwanamke anaweza kuwa hana hata mia sasa hivi lakini baada ya masaa kadhaa akamilikishwa mali chungu nzima kwakuwa anacho kiwezeshi.
 
Hata mimi Marehemu Babu yangu alinipa wosia kwamba "kwenye maisha mjukuu wangu usije ukadhubutu kushindana na mwanamke".

Mwisho wa kunukuu.
 
Kwani hujui kabla hajasafiri Kuna mdau anakuwa ameshamfanyia booking na kugharamia Siku zote atakazokaa?

Hao wana masponsor 😜🙌
Kitambo kidogo tulipelekwa training DAR, ofisi wakatufanyia booking Sleep Inn hotel iko mitaa ya Kariakoo (Swahii/Mahiwa) kama sijasahau. Kuna binti tulikuwa naye yeye akafikia White Sand hotel, yaani akaacha booking ya bure, sponsor kamlipia huko. Asubuhi tunakutania mitaa ya posta, yeye analetwa na gari nene kwelikweli, sema demu mwenyewe alikuwa simple sana hana makeke kabisa. Siku ya mwisho anatutoa wote out kula kunywa juu yake.
 
Mkuu unapata wapi nguvu za kupambana na kiumbe kinachotembea na bidhaa inayohitajika muda wote?
 
Huyo mdada halipi yeye kama hujui analala na bosi wenu ,ndio tabia za mabosi siku hizi kuwapa safari michepuko yao
 
Mkuu hotel zina vigezo ambavyo inatakiwa kuwa navyo ili iitwe hotel. Sasa bongo mtu lodge anaita Hotel. Hotel ina vigezo vyake sio genge la kuuzia supu ya mapupu mtu anakuambia ni hotel
Kuanzia nyota 3 si ni hotel mkuu?
 
Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Wee wacha waenjoy bwana lazima mwili unaokupa pesa uupe raha mwanawane.
Huna mkataba na mungu unaweza sepa wakati wowote so enjoy
 
Mwanaume mzima unakosoa matumizi ya mdada, mara kumi ungekosoa matumizi ya mwanaume mwenzio
 
Mkuu hotel zina vigezo ambavyo inatakiwa kuwa navyo ili iitwe hotel. Sasa bongo mtu lodge anaita Hotel. Hotel ina vigezo vyake sio genge la kuuzia supu ya mapupu mtu anakuambia ni hotel
Wrong.
Hotel na Lodge tofauti ni aina ya structure tu. Zote zinaweza kuwa hadhi sawa 1,2,3,4 star etc.
Screenshot_20240617_233124_Google.jpg
 
Back
Top Bottom