Unalalaje lodge ya 80,000 na bado hujajipata

Unalalaje lodge ya 80,000 na bado hujajipata

Naelewa zaidi hoteli za nyota nne na tano

Sorry lodge nifafanulie nikiona uswahilini Ujiji kigoma pameandikwa Mwandiga kigoma Lodge ili niellewe
Hizo za Mwandiga ndio lodge, na mara nyingi lodge ni family business halafu ni majengo ya chini siyo ghorofa.

Hotel unavyojuwa wewe ndio hivyohivyo zinatofautiana nyota tu.
 
Binadamu lazima uset standard zako, nilikuwa nikienda Mwanza La Cairo hotel nachukuwa Presidetial suite ina sitting room kabisa, mtu akija kukutembelea hotelini anaishia sitting room kuna excutive sofa na flat screen 4k, hata kama una kimeo chumbani hawezi kujuwa chochote.
Kabisa, tena hata kiusalama (mali zako au za ofisi) panafaa kabisa
 
Ndio maana unalipwa perdiem kwa ajili ya kula na kulala si kwa matumizi mengine. Siwezi lala lodge uchwara eti ni save hela. Maisha na hayahaya, enjoy while you can.

Mwajiri wetu alijua tabia za wafanyakazi kutaka kusave bila kujali usalama na afya zao wakiwa kazini. Hotel unalipiwa five star na daily allowance unapewa. Tena hotel unalipia kwa Mastercard ya ofisi.
 
Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Huo sasa mkuu ni wivu! Hivi unajua kuna mashirika mengine yanawalipia hotel watumishi wao?
 
Mkuu, Mimi naomba kufahamu kitu,, hivi hizi Perdiem huwa zinafanana kwa taasisi/Mashirika/Halmashauri zote za serikali..?
Pia, zinatofautiana kulingana na ngazi ya elimu au cheo..?
Standard ya perdiem imewekwa kisheria, mashirika binafsi zinafanana. Sina uzoefu na huko serikalin zimekaaje kaaje. Lakin taasis huru zinawekaga standard yake kwa kuzingatia kigezo cha seniority ya mhusika. Perdiem haiwez kuwa chini ya 150k kwa siku mana ni malazi, mlo, safari za hapa na pale na viburudisho kwa siku moja.
 
Hela ya perdiem sio ya kununulia tofali mjomba 😂😂 pumzisha mwili huo ufanye kazi kiufanisi, kesho wakutoe tena kazi za nje ulambe perdiem nyingine.
 
Back
Top Bottom