Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Pesa za manyokaJamaa karudi na milioni 80 nyumbani, kiunoni ana bastola lakini kakuta majambazi wameshafika kwake tena wapo chumbani na mkewe wameshamfunga kamba na plasta mdomoni. Jamaa kaingia na begi lake kapigwa kisu cha Moyo kafa Jamaa wakachukua pesa wakasepa.
Polisi kufika na taratibu zao, walipoanza kusearch wanakuta pesa zingine zipo kwenye ndoo ya maji zimejaa, zingine zipo juu ya dari zingine kwenye begi, eti hadi kwenye kabati la nguo. Ina maana huyu Jamaa anabifu na bank au haziamini?
Kiukweli mimi hata laki mbili sikai nayo cash achilia mbali millions.
TUBADILIKE!
Tz au?Jamaa karudi na milioni 80 nyumbani, kiunoni ana bastola lakini kakuta majambazi wameshafika kwake tena wapo chumbani na mkewe wameshamfunga kamba na plasta mdomoni. Jamaa kaingia na begi lake kapigwa kisu cha Moyo kafa Jamaa wakachukua pesa wakasepa.
Polisi kufika na taratibu zao, walipoanza kusearch wanakuta pesa zingine zipo kwenye ndoo ya maji zimejaa, zingine zipo juu ya dari zingine kwenye begi, eti hadi kwenye kabati la nguo. Ina maana huyu Jamaa anabifu na bank au haziamini?
Kiukweli mimi hata laki mbili sikai nayo cash achilia mbali millions.
TUBADILIKE!
Tz ndioTz au?
😅🤣😂Kama sio pesa haramu, basi huyo jamaa atakua ni msukuma mshamba
Exactly, labda aliamini bastolaKwa kunyoosha maelezo ni mpumbavu!
Huenda alietoa Kodi kwa majambazi ni mke wake au rafiki yake wa karibu.
Unless mtu awe na maximum level ya security nyumbani kwa ndo aweke icho kiasi cha muokoto. vinginevyo ni kuiweka familia kwenye risk inayoepukika
😅🤣🤣Wamemuotea....... Wengine bado wanatumia njia za asili 😀😀
NomaDoh!
Wao wamejigawia ngapiPolisi kufika na taratibu zao, walipoanza kusearch wanakuta pesa zingine zipo kwenye ndoo ya maji zimejaa, zingine zipo juu ya dari zingine kwenye begi, eti hadi kwenye kabati la nguo.
Huna akili wewe, acha kukejeli wasukuma.Kama sio pesa haramu, basi huyo jamaa atakua ni msukuma mshamba
Samahani mkuu ni utani tu...Huna akili wewe, acha kukejeli wasukuma.
UsijaliSamahani mkuu ni utani tu...
Dar es Salaam, ubungo.Hili yukio limetokea wapi mkuu?