Pre GE2025 Unalichukuliaje suala la Wanasiasa kujitokeza Majimboni kutoa zawadi na kutatua kero za wananchi kwa mwaka huu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanaamini huo utapeli wa kizamini Bado watu hawajaustukia. Ni kama wanajaribu kuhalalisha kurudi kwenye nafasi zoa hata kwa wizi wa kura, hivyo huo usanii ndio watautumia Ili kuhadaa umma kuwa walikuwa karibu na wananchi.
 
Ni utapeli wa kitoto sana. Na sidhani Bado Kuna wananchi wajinga wa kufanyiwa usanii wa kitoto hivyo.
 
Ipo sana kwa hii Tz yetu! Bado sana% Nakaa Kitunda njia yote mbovu unawaza mda wa kutoka na kurud home! Coz inasababisha usafir wa shida sana! Sehem ya mia5 inakua elfu had elfu2"
 
Swala la barabara ni tatizo kubwa pembezoni na viongozi wanaangalia tu km 4 unatumia 2000 nauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…