Unalijua hili kuhusu mtoto wa Osama bin Laden

Unalijua hili kuhusu mtoto wa Osama bin Laden

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Design 2_20240611_184238_0000.png


Je wajua? Omar bin Laden, mtoto wa nne wa Osama bin Laden, ni msanii na mwandishi, na sanaa yake inaonyeshwa nchini Ufaransa, ambako anaishi.
 
Uzushi na propaganda mbaya zilikuwa nyingi juu yake ila general alikua mtu powa sana, ikiwa haupo duniani ajaliwe kupumzika kwa amani.
bdcb45b270f1cb14c04b383613ec494d.jpg
 
Back
Top Bottom