Unalipwa 500,000 TZS? Jaribu kuishi hivi!

Tatizo ni kuwa hizo bima hazifanyi kazi kwenye hospitali za kueleweka. Ni kama kupoteza pesa tu
 
Watu kama nyie siwapendi sana.. Mnaojifanya mnajua saana maisha. Buku tano kwa siku unakula na kunywa inatoshaje?? maji kwa siku unakunywa robo lita? au unashindia kandolo?? toka hapa
Maji ya dawasco chemsha weka kwenye chupa.....au ndoo ya 10lt.
 
Best message ever kwenye hili jukwaa.

Watu wanachanganya vitu. Huwezi lipa fungu la kumi based on mtaji. Kiusahihi fungu la kumi ni ile % ya extra. Hata kodi kwenye biashara unalipa after miscellenious costs. Baada ya kutoa gharama za uendeshaji. Otherwise biashara itafeli.

Ila sasa wachungaji wetu wanavyotafsiri fungu la kumi..Utachoka!

Asante sana mleta mada. Mwenye kusikia na asikie na kuelewa
 
Kwa maandiko yapi hayo mkuu??
 
Easier said than done.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…