RMK Freelancers Agency
JF-Expert Member
- Jan 15, 2025
- 397
- 442
- Thread starter
-
- #41
Komenti Intilijenti bizinez man kwenye moja na mbili🤣Mlinzi fulani anakula 150k na wana zungushwa kishenzi.
bila posho na deal za hapa na pale, yule mzee asinge toboa.
Hii nilijua lazma itakuja.. Ni namna ya kufanya watu wasipinge hoja zako hata kama ni pumba. Lakini me napinga hoja. Hiyo ni pumbaKosa kubwa kuliko yote ni "kupinga kila kitu" ni vizuri ukawa na open mind. Listen/read then judge by logic not emotions.
NitakurudiaNaomba ushauri boss
Kuna watu hawashauriki, hawakubaliani na kila mtu! deal na positive minded people..Kosa kubwa kuliko yote ni "kupinga kila kitu" ni vizuri ukawa na open mind. Listen/read then judge by logic not emotions.
Karibu sana, ningependa ukosoe si kupinga.Hii nilijua lazma itakuja.. Ni namna ya kufanya watu wasipinge hoja zako hata kama ni pumba. Lakini me napinga hoja. Hiyo ni pumba
🤣🤣🤣sikuweziMimi naramba 180,000 Net na Bado natamba mjini hii imekaaje mkuu kihasibu
Yes sir! I got you!Kuna watu hawashauriki, hawakubaliani na kila mtu! deal na positive minded people..
Nimecheka sana.. Nusu kidogo nimwage konyagi yanguMbona hasira kwenye mada za watu, em kunywa maji hakikisha ni masafi na salama
Sasa spongebob utaweza kunifanyia maintenance kweli wewe!?🤔Mimi naramba 180,000 Net na Bado natamba mjini hii imekaaje mkuu kihasibu
Hapana, Nitampa for free!Lipia ushauri
Mzee unachoma maini🤣Nimecheka sana.. Nusu kidogo nimwage konyagi yangu
Shukrani, warmly welcome next time!Dah.. Anyway, nisije nikaonekana nipo negative sana muda wote, though i think this was very unnecessary
Its virtually impossible kumpa mtu syllabus ya maisha. Who are you.Karibu sana, ningependa ukosoe si kupinga.
Weka hoja!
Amu senkyu saaShukrani, warmly welcome next time!
Kama kawaida, lakini nashangaa hayaivi í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸Mzee unachoma mainií ¾í´£
I repeat, usifate exactly namba zangu. Weka zako zinazoendana na uhalisia wako. Goal is to cut expenses. Kama kuna ulazima wa kunywa litre 10 za maji basi hiyo expense ni ya lazima, angalia expense nyingine ambayo si ya lazima ikate.Watu kama nyie siwapendi sana.. Mnaojifanya mnajua saana maisha. Buku tano kwa siku unakula na kunywa inatoshaje?? maji kwa siku unakunywa robo lita? au unashindia kandolo?? toka hapa
Ndo maana nanyetuka tu daily ili nipoteze stressHuyu mzee sio secretarybird kweli?