Unalipwa 500,000 TZS? Jaribu kuishi hivi!

Mkuu🤣🤣🤣
 
Hapana, nimegundua ni "much know" "closed mind" and "poor at communication". Hivyo kubishana nae ingekuwa wastage of energy and resources.
Thanks to;
"How to win friends and influence people" by Dale Carnegue
U are wasting so much energy on that fool! Huyo huwa ana kauli chafu chafu tu na mbishi kila mada anapinga tu haijalishi umeongea nn ni kupinga tu! Kuna watu wanafikiri kuwa gT ni kuwa mpingaji tu, hafikirii hana self awareness sijui yuko insecured! So confused specie🤦🏽‍♀️
 
Hawa ndio wale wanasema " Punguza Ushauri " huku anaishi kwenye madeni!
 
What a useless citizen, Tz and his parents wamepata hasara 🤣
 
Laki tano hela ndogo mno yaani kwa sasa kumpatia mtu laki 5 ni kama kumfanyia ukatili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…