Unalipwa 500,000 TZS? Jaribu kuishi hivi!

Tatizo hiyo 150k mpaka uje utoboe maisha ni lini? Au utafanya kazi mpaka unakufa? Utajenga lin? Bado kuna matumizi yasiyo ya lazima umetaja hivi huwezi ukala laki kwa mwezi? Mchele kilo 10 unga kilo 10 ,, dagaa kilo moja mboga za majan za 15000 ,, pia bima usikate🤣 internet piga chini, nguo sio kila mwezi ,, yani mpaka matumizi yako yasizidi nusu ya pesa unayopata
 
Ukitaka kuamini zaidi ya asilimia 90 ya Watanzania kipato chao hakizidi laki 5 kwa mwezi na wapo wanaopata chini ya hiyo na still wanaishi
 
Wabongo bhana 😂
 
Ndio utajua watanzania ni magician,wanalipwa hiyo pesa,wanakaa nyumba ya lk 2,ana watoto wawili wanasoma English medium,analisha nyumbani kwake,anasaidia kwao na ukweni pia,anakunywa pombe kariba kila siku na ana mchepuko!...
 
Toa ushauri juu ya matumizi ya boom vyuoni
615000 kwa miezi 2
 
Kwa Bongo hii ukiongeza mishahara chap na gharama za maisha zinapanda immediately
 
Najilipa 500k, nyumba 300k, dada 70k, school bus 110k (twins), umeme 50k, dawasa 15k
Hapo bado chakula

Doh
Tayari wewe una kipato cha kizuri, tena kama una save hiyo imekaa poa sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…