Unamchukuliaje mtu anayejipost post whatsApp status?

Unamchukuliaje mtu anayejipost post whatsApp status?

Dah Kama wewe Ni ke Basi una roho ngumu kumshinda shetani...

Nje ya mada...Ni ufala kujipost kidume kizima
niko poa tu asa mtu km hufaidiki na namba yake wa kazi gani! Bora uwe na namba za watu 10 wenye maana kuliko kujaza wapuuzi 200
 
Nasapoti kwa asilimia zote ,mtoto wa kiume kuzidisha kujipost hovyo mwisho wa siku utajirekodi na kamera ya mbele huku ukilamba lipsi.
 
Back
Top Bottom