Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,093
- 2,046
Na wewe unayemfatilia hadi ukajua anapost Picha 10 kwa siku ni kukosa kazi ama??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na status.. Maana zingine ni matangazo ya biasharaBinafsi huwa siamini mtu anajipost kwa siku picha kumi yeye tu kiukweli sijajua kama ndio matumizi ya status tena kwa kidume ni kukoswa kazi
Hasa wewe[emoji376][emoji125][emoji100]Wengine wanastress zao huko!
Aisee! How..?Hasa wewe[emoji376][emoji125][emoji100]
🤣🤣🤣huyu mwamba kanichekesha sana.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Siyo mbaya...
Watu wanakuwa Inspired.
Anakuwa anawaza hukohuko mtandaoni..hahaha!Binafsi...Mimi siyo Watsap status tu...Maana naweza nisi'view...
Kuna wale watu wasio na kiasi na hii kitu Inaitwa mitandao ya kijamii....Unakuta mtu 24/7...Yupo Mtandaoni....
Huwa najiuliza...Kazi anafanya saa ngapi...Okey...Mwingine atakuambia mitandaoni ndiko anafanyia kazi zake...Najiuliza tena... Ni saa ngapi anapata muda wa kupangilia/kuwaza mambo yake?
Binafsi huwa siamini mtu anajipost kwa siku picha kumi yeye tu kiukweli sijajua kama ndio matumizi ya status tena kwa kidume ni kukoswa kazi
Wengine wana stress zao hukoAisee! How..?
Lakini siweki status mimi mpaka uthibitishe hilo!Wengine wana stress zao huko
Sawa ndugu hakimuLakini siweki status mimi mpaka uthibitishe hilo!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu mwamba kanichekesha sana.
Basi sawa Eroni..[emoji2368]Anakuwa anawaza hukohuko mtandaoni..hahaha!
Mimi huwa naamini mtandaoni watu wanatoa sana stress zao. Kwa maisha ya sasa tusingekuwa na hizi social, hatutembeleani tena, mistress ingekuwa mikubwa mikubwa tu!
Auntie we huview wala hupost nakuteia vyediiiiiBinafsi...Mimi siyo Watsap status tu...Maana naweza nisi'view...
Kuna wale watu wasio na kiasi na hii kitu Inaitwa mitandao ya kijamii....Unakuta mtu 24/7...Yupo Mtandaoni....
Huwa najiuliza...Kazi anafanya saa ngapi...Okey...Mwingine atakuambia mitandaoni ndiko anafanyia kazi zake...Najiuliza tena... Ni saa ngapi anapata muda wa kupangilia/kuwaza mambo yake?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie we huview wala hupost nakuteia vyediiiii