Unamchukuliaje mtu anayejipost post whatsApp status?

Kuja wengine wana vile viapp vya kuwanotify mtu fulani akiwa online, yaani ukiwashadata tu unakutana na status 'just now' venye nawapuuzaga mixer kuwa mute mpaka tukikutana physically wananunaga kabisa.

Ndio simu yako na bando lako ila tabia nyingine waachieni dada zenu. Na wengi wanaomuandama mtoa mada ndo tabia zao, janaume zima eti lina akaunti Tiktok
What the F*ck
Saf Sana mkuu wanaume kamili tumsapoti mtoa Mada Dume zima unakuta linashinda status kaz kujipiga filta na kujirembua
 
Kwa siku ana post picha kumi na wewe unamfuatilia mpaka ukajua kua kwa siku anapost picha kumi! sasa huyo anayepost picha kumi kwa siku na wewe unayemfuatilia ni nani hasa aliyekosa kazi? au mna tofauti gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Binafsi...Mimi siyo Watsap status tu...Maana naweza nisi'view...

Kuna wale watu wasio na kiasi na hii kitu Inaitwa mitandao ya kijamii....Unakuta mtu 24/7...Yupo Mtandaoni....

Huwa najiuliza...Kazi anafanya saa ngapi...Okey...Mwingine atakuambia mitandaoni ndiko anafanyia kazi zake...Najiuliza tena... Ni saa ngapi anapata muda wa kupangilia/kuwaza mambo yake?
[emoji16] akaa
 
Wewe ndio huna kazi sasa yaaani unapata na muda wakwawazia kuwa kazi anafanya saa ngapi 😂😂😂😂😂😂
 
Kuja wengine wana vile viapp vya kuwanotify mtu fulani akiwa online, yaani ukiwashadata tu unakutana na status 'just now' venye nawapuuzaga mixer kuwa mute mpaka tukikutana physically wananunaga kabisa.

Ndio simu yako na bando lako ila tabia nyingine waachieni dada zenu. Na wengi wanaomuandama mtoa mada ndo tabia zao, janaume zima eti lina akaunti Tiktok
What the F*ck
Mbona una makasiriko kwenye maisha ya watu wewe ishi urakavyo acha umbea kwenye maisha ya watu
 
Binafsi...Mimi siyo Watsap status tu...Maana naweza nisi'view...

Kuna wale watu wasio na kiasi na hii kitu Inaitwa mitandao ya kijamii....Unakuta mtu 24/7...Yupo Mtandaoni....

Huwa najiuliza...Kazi anafanya saa ngapi...Okey...Mwingine atakuambia mitandaoni ndiko anafanyia kazi zake...Najiuliza tena... Ni saa ngapi anapata muda wa kupangilia/kuwaza mambo yake?
Wakuda mko wengi sana [emoji3][emoji3]

Huko mitandaoni ww unamuonaje muda wote kama na ww hushindi huko?

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi maisha yamerahisishwa, una mute, block au kufuta kabisa namba😂😂ila tu nina roho mbaya kinoma,

Nje ya mada mi hata tukigonga zaidi ya mwaka bila kuwasiliana nakufuta kwenye phonebook yangu
Yani upo kama Mimi.
Ila mleta mada acha kuteseka na vitu vidogovidogo bana
 
Wanafanya kazi saa ngapi?
Wanapata muda wa kuwaza mambo tao saa ngapi.
Ma jobless wanafokewa sana mwezi huu.
 
Back
Top Bottom