Unamchukuliaje mtu anayejipost post whatsApp status?

Unamchukuliaje mtu anayejipost post whatsApp status?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Auntie zako mbona huwa naview jamani....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaview mara moja kwa miezi hivi au umehide nisione status zako auntie
 
Siku hizi maisha yamerahisishwa, una mute, block au kufuta kabisa namba😂😂ila tu nina roho mbaya kinoma,

Nje ya mada mi hata tukigonga zaidi ya mwaka bila kuwasiliana nakufuta kwenye phonebook yangu
Hata mimi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaview mara moja kwa miezi hivi au umehide nisione status zako auntie
Auntie jamani....Naview sana....halafu wewe mwenyewe pia siyo mtu wa kupost post mbona.....

Auntie ni'hide wewe usione kweli jamani......Hapana[emoji1787]Ipo wazi kabisa.
 
Auntie jamani....Naview sana....halafu wewe mwenyewe pia siyo mtu wa kupost post mbona.....

Auntie ni'hide wewe usione kweli jamani......Hapana[emoji1787]Ipo wazi kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] bora mimi auntie napost hata kwa mwezi mara moja sio wewe usikute kuna watu WhatsApp hawaijui hata sura yako mtaalam wangu wa kupost status huyu apa yaani asipopost ataumwa Mzigua90
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Auntie nimecheka vibaya....

Umenikumbusha jambo moja lilitokea nyuma huko[emoji28]Kuhusu DP yangu...Nitakuambia siku moja[emoji28]

Hapo kwa Mzigua hadi nimecheka tena[emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzigua ataumwa siku WhatsApp watoe kipengele cha kupost status
 
Na sisi tunaopost memes 10 kwa siku unatuchukiloaje ndugu mwandishi?
[emoji1]
Screenshot_2022-07-21-18-58-25-90.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] bora mimi auntie napost hata kwa mwezi mara moja sio wewe usikute kuna watu WhatsApp hawaijui hata sura yako mtaalam wangu wa kupost status huyu apa yaani asipopost ataumwa Mzigua90
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nawakumbusha msije mkanisahau

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Ni suala la muda... Muda wako umefika wa majukumu baadhi ya vitu inabidi uviache afu kuna sisi huu ndio muda wetu [emoji1] Memelords
IMG_20220721_201132.jpg
 
Mkuu umepigwa kwenye mshono nin
Usifanye maisha kua magumu kiasi hicho, acha chuki, wivu, acha watu waishi maisha yao.

Nawe ishi yako, Mute, dunia tunapita.
Mkuu wew ndo mlengwa nin
 
Unakuta Dume zima linabinua mdomo na kurembua macho wanaume wanazid kuisha
 
Kuja wengine wana vile viapp vya kuwanotify mtu fulani akiwa online, yaani ukiwashadata tu unakutana na status 'just now' venye nawapuuzaga mixer kuwa mute mpaka tukikutana physically wananunaga kabisa.

Ndio simu yako na bando lako ila tabia nyingine waachieni dada zenu. Na wengi wanaomuandama mtoa mada ndo tabia zao, janaume zima eti lina akaunti Tiktok
What the F*ck
Saf Sana mkuu wanaume kamili tumsapoti mtoa Mada Dume zima unakuta linashinda status kaz kujipiga filta na kujirembua
 
Back
Top Bottom