Unamchukuliaje mtu anayejipost post whatsApp status?

Binafsi...Mimi siyo Watsap status tu...Maana naweza nisi'view...

Kuna wale watu wasio na kiasi na hii kitu Inaitwa mitandao ya kijamii....Unakuta mtu 24/7...Yupo Mtandaoni....

Huwa najiuliza...Kazi anafanya saa ngapi...Okey...Mwingine atakuambia mitandaoni ndiko anafanyia kazi zake...Najiuliza tena... Ni saa ngapi anapata muda wa kupangilia/kuwaza mambo yake?
 
Dunia ya leo ukianza kufuatilia maisha ya watu unaweza kupata uchizi bure au vidonda vya tumbo,
Ilee familia yako kwa misingi ambayo wewe unaona ni sahihi,hii Dunia ina mengi,
Enjoy ur life acha kuteseka kwa maisha ya wengine japo mtoto wa kiume kukaa anajipost picha zake kila saa haileti picha nzuri.
 
simu yake bundle lake chaji yake muda wake sura anayopost yake ww kinakuuma nn au unataka aukupost ww acha ufakeni tafta sana hela usahau kuangalia status za watu. mm nimemute status zote kiufupi sina muda wa kuangalia ststus za mtu labda biashara
 
Binafsi...Mimi siyo Watsap status tu...Maana naweza nisi'view...

Kuna wale watu wasio na kiasi na hii kitu Inaitwa mitandao ya kijamii....Unakuta mtu 24/7...Yupo Mtandaoni....

Huwa najiuliza...Kazi anafanya saa ngapi...Okey...Mwingine atakuambia mitandaoni ndiko anafanyia kazi zake...Najiuliza tena... Ni saa ngapi anapata muda wa kupangilia/kuwaza mambo yake?
Huwa wanakuomba hela ya bundle.

Mimi binafsi nipo mitandaoni kwa mwaka mzima na situmii senti ya mtu kufanya mambo yangu.
 
Binafsi...Mimi siyo Watsap status tu...Maana naweza nisi'view...

Kuna wale watu wasio na kiasi na hii kitu Inaitwa mitandao ya kijamii....Unakuta mtu 24/7...Yupo Mtandaoni....

Huwa najiuliza...Kazi anafanya saa ngapi...Okey...Mwingine atakuambia mitandaoni ndiko anafanyia kazi zake...Najiuliza tena... Ni saa ngapi anapata muda wa kupangilia/kuwaza mambo yake?
Acha chai zao, masaa24 halali au? Na wewe umejuaje kama 24/7 yuko online?[emoji851][emoji851]
 
Binafsi...Mimi siyo Watsap status tu...Maana naweza nisi'view...

Kuna wale watu wasio na kiasi na hii kitu Inaitwa mitandao ya kijamii....Unakuta mtu 24/7...Yupo Mtandaoni....

Huwa najiuliza...Kazi anafanya saa ngapi...Okey...Mwingine atakuambia mitandaoni ndiko anafanyia kazi zake...Najiuliza tena... Ni saa ngapi anapata muda wa kupangilia/kuwaza mambo yake?
Hujui kwamba asilimia kubwa ya watu Ni Jobless?
 
Binafsi huwa siamini mtu anajipost kwa siku picha kumi yeye tu kiukweli sijajua kama ndio matumizi ya status tena kwa kidume ni kukoswa kazi
hii inakuwaje ni issue kwako? yy akijipost wewe unafaidika na nn? ama unakosa nini? km jibu ni haufaidiki wala kukosa chochote basi jitafakari, achana na maisha ya watu.
 
Na sisi tunaopost memes 10 kwa siku unatuchukiloaje ndugu mwandishi?
 
Back
Top Bottom