Unamchukuliaje mwanamke ambaye akitongozwa lazima akwambie?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Kuna mademu ambao wao ni kukutafutia vita na watu.

Mwanamke mzuri lazima atongozwe kwanini akitongozwa na marafiki tunaojuana ndo huja kutufitinisha nao lakini wakitongozwa na watu wa mbali huliwa mzigo na Huwa ni Siri zao.

Mwanamke akitongozwa ni wajibu wake kukataa bila kumjulisha mmewe au mpenzi wake kama alitongozwa sijui na nani hapo ni unafiki na kutafutiana pressure na ugomvi na watu bure.
 
Wangu alikuwa anafanana kama hiyo picha ya kwanza,kila akitongozwa na watu ananiambia,ila alivyo kuwa akitongozwa na ex wake hakuniambia,baada ya mda akarudiana nae.

So wanaweza jaribu wana wengi ila kuna mmoja atatoboa tu.
 
Ukishawajua mademu wa hivo kata nao mahusiano usikaribishe ukaribu wowote. Kula buyu... Na kwanini utongoze demu wa rafiki yako.. Huo ni usaliti na umalaya na ulevi. BADILI TABIA WALIMWENGU WAMESHAPINDA SHAURI ZAKO YATAKUKUTA MAMBO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ