ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Kuna mademu ambao wao ni kukutafutia vita na watu.
Mwanamke mzuri lazima atongozwe kwanini akitongozwa na marafiki tunaojuana ndo huja kutufitinisha nao lakini wakitongozwa na watu wa mbali huliwa mzigo na Huwa ni Siri zao.
Mwanamke akitongozwa ni wajibu wake kukataa bila kumjulisha mmewe au mpenzi wake kama alitongozwa sijui na nani hapo ni unafiki na kutafutiana pressure na ugomvi na watu bure.