Unamdai mtu - unaambulia matusi

Unamdai mtu - unaambulia matusi

Strong25

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2021
Posts
476
Reaction score
1,079
habari
leo sitaki kuongea sana

Naomba mwenye connection ya upande wapili anipe ili niweze kulipwa madeni yangu

Hakuna kitu kinauma unamdai mtu pesa zako then anaongea jeuri

Kwaunyenyekevu mkubwa sana naomba mnishike mkono kwenye hili (comment hapo chini nikucheki)
 
Hapa Afrika kama unamdai mtu ukiwa unahitaji lazima uandae maelezo ya kutosha.
 
habari
leo sitaki kuongea sana

Naomba mwenye connection ya upande wapili anipe ili niweze kulipwa madeni yangu

Hakuna kitu kinauma unamdai mtu pesa zako then anaongea jeuri

Kwaunyenyekevu mkubwa sana naomba mnishike mkono kwenye hili (comment hapo chini nikucheki)
Kwanini mnakopeshaga watu?!, tulishakataza humu. Anaetaka mkopo aende FINCA au MPAWA!! mtakosana na ndugu zenu!
 
Niliwahi kumwamini mtu niliyejuana naye kupitia mzazi na tukafanya biashara.Ilikuwa ngumu sana kuvunja uaminifu haswa kwa mzazi kwa sababu hakuna nilichopata zaidi ya matusi makubwa,mawazo,kufilisika,kudharauliwa na hata kuonekana sina adabu.

Nitatoa nikijisikia,Ila kuhusu kukopesha🙌🙌🙌🙌.
 
Back
Top Bottom