Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Mawakili Wasee sanaMasikini ndiyo hulipa madeni, ila matajiri hawanaga mpango wa kulipa madeni...
Ukimdai tajiri, utapambana na wakili ila siyo kulipwa...

Ukiona unalipa madeni ujue wewe bado masikini...uko sahihi kabisa