Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Oct 23, 2026 #21 Smart911 said: Masikini ndiyo hulipa madeni, ila matajiri hawanaga mpango wa kulipa madeni... Ukimdai tajiri, utapambana na wakili ila siyo kulipwa... Click to expand... Mawakili Wasee sana
Smart911 said: Masikini ndiyo hulipa madeni, ila matajiri hawanaga mpango wa kulipa madeni... Ukimdai tajiri, utapambana na wakili ila siyo kulipwa... Click to expand... Mawakili Wasee sana
Strong25 JF-Expert Member Joined Dec 6, 2021 Posts 476 Reaction score 1,079 Oct 23, 2026 Thread starter #22 Smart911 said: Masikini ndiyo hulipa madeni, ila matajiri hawanaga mpango wa kulipa madeni... Ukimdai tajiri, utapambana na wakili ila siyo kulipwa... Click to expand... uko sahihi kabisa
Smart911 said: Masikini ndiyo hulipa madeni, ila matajiri hawanaga mpango wa kulipa madeni... Ukimdai tajiri, utapambana na wakili ila siyo kulipwa... Click to expand... uko sahihi kabisa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 23, 2026 #23 Strong25 said: uko sahihi kabisa Click to expand... Ukiona unalipa madeni ujue wewe bado masikini... Ila ukiwa tajiri, hulipi madeni, badala yake unamtuma wakili akapambane usilipe hayo madeni...
Strong25 said: uko sahihi kabisa Click to expand... Ukiona unalipa madeni ujue wewe bado masikini... Ila ukiwa tajiri, hulipi madeni, badala yake unamtuma wakili akapambane usilipe hayo madeni...
Isenye JF-Expert Member Joined Dec 22, 2024 Posts 1,985 Reaction score 5,167 Oct 23, 2026 #24 Unataka mganga si ndio?
Strong25 JF-Expert Member Joined Dec 6, 2021 Posts 476 Reaction score 1,079 Oct 24, 2026 Thread starter #25 Isenye said: Unataka mganga si ndio? Click to expand... yaah