Black Book
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 228
- 207
Wapo wanaoshiriki bosshao jamaa zako wanashiriki hiyo michezo ya kubahatisha?
Mimi na jamaa zangu tunaamini kilimo ndio uti wa mgongo.Wakuu...
Karibu kila siku nasikia kila week kuna watu wanashinda million 10 mpaka 50 lakini binafsi sijawahi kuona ndugu, jamaa, rafiki au mtu yoyote wa karibu ninayemjua kashinda hata laki moja.
Binafsi sijui hawa wanaoshinda hii michezo ni watu wa wapi mliowahi kushinda au kushuhudia mtu wako wa karibu kapewa haya mamilion tafadhali share na sisi wengine hatujawahi kuamini kabisa haya mambo yanatangazwa kila sekunde na kila redio.
Well said kakaMaisha hayana bahati nasibu, ni kufanya kazi tena kwa bidii. Kama unataka pesa za bahati basi ujue utapoteza hata hicho kidogo ulicho nacho, nisikilize mimi.
Habari zenu wapendwa, huwa nasikiaga tuu kuhusu biko, tatu mzuka..... Je? Kuna mtu yeyote humu ambaye ameshawahi kushinda hii michezo??
Naomba kujua kama kuna ukweli wowote maana naona ni kama utapeli tu na maigizo
Naombeni michango yenu wadau
Nilishinda lakiHabari zenu wapendwa, huwa nasikiaga tuu kuhusu biko, tatu mzuka..... Je? Kuna mtu yeyote humu ambaye ameshawahi kushinda hii michezo??
Naomba kujua kama kuna ukweli wowote maana naona ni kama utapeli tu na maigizo
Naombeni michango yenu wadau
Yupo mkuu, ameshinda million 40 ya tatu mzuka, ni jiran yetu saiv anashusha jumba afu amejenga mpk kene mipaka ya watu, watoto wake full kugombana kisa hela bi mkubwa waoWakuu...
Karibu kila siku nasikia kila week kuna watu wanashinda million 10 mpaka 50 lakini binafsi sijawahi kuona ndugu, jamaa, rafiki au mtu yoyote wa karibu ninayemjua kashinda hata laki moja.
Binafsi sijui hawa wanaoshinda hii michezo ni watu wa wapi mliowahi kushinda au kushuhudia mtu wako wa karibu kapewa haya mamilion tafadhali share na sisi wengine hatujawahi kuamini kabisa haya mambo yanatangazwa kila sekunde na kila redio.
Nshashindaga tatu mzukaHabari zenu wapendwa, huwa nasikiaga tuu kuhusu biko, tatu mzuka..... Je? Kuna mtu yeyote humu ambaye ameshawahi kushinda hii michezo??
Naomba kujua kama kuna ukweli wowote maana naona ni kama utapeli tu na maigizo
Naombeni michango yenu wadau
Juma huyu huyu tuliyemzika juzi?Viwanda Vya Juma
Mimi nilipiga above 20+mNinachoamini Kwamb Hakuna Mwana Jf Au Mtu Nje Ya Jf Aliewah Kushinda Kuanzia M5 Ila Ni Zuga Tu Me Mpaka Nafika Umri Huu Cjawah Ona Au Sikia Mtu Kapata Zaidi Ya Los Tu LABDA KU BET