Black Book
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 228
- 207
Wakuu...
Karibu kila siku nasikia kila week kuna watu wanashinda million 10 mpaka 50 lakini binafsi sijawahi kuona ndugu, jamaa, rafiki au mtu yoyote wa karibu ninayemjua kashinda hata laki moja.
Binafsi sijui hawa wanaoshinda hii michezo ni watu wa wapi mliowahi kushinda au kushuhudia mtu wako wa karibu kapewa haya mamilion tafadhali share na sisi wengine hatujawahi kuamini kabisa haya mambo yanatangazwa kila sekunde na kila redio.