Unamfunga Mbowe kisha unakatiwa misaada na mikopo na zaidi kutakiwa kuimarisha utawala bora na demokrasia

Mbowe hawawezi mfunga Mbowe ni biashara kwa mawakili,mahakimu na wengine KILA akiletwa mahakamani watu hao uingiza siku kupitia posho,nk jaji anafuta laki 5 moja kwa kila kesi so akiipiga danadana ghorofa anamalizia.
Hii nchi inatafunwa sana
 
Hizo ni hisia zako na mtazamo wako ila ukweli uko pale pale muda na historia ni mwalimu mzuzri.
 
Tuko tayari kulipa gharama hizo lakini gaidi afungwe. Miaka yote wewe vibaraka wenzako mnaimba hizo ngonjera lakini misaada inaendelea kumiminika nchini.
 
Hiyo kwa kinyakyusa tunaita 'they are going to dance to their tune'
 
Acha kutisha watu mangi mbowe ni hadi aogopwe kufungwa
 
Muelekeo wa hiyo kesi ni sawa na hukumu imeshatoka, majaji wenu wanatii maelekezo yenu vizuri sana, sioni haja ya kuisubiri hukumu tena, labda tusubiri muda wa kifungo tu.
Hata kwa sabaya waitii pia
 
Chama cha wachaga
 
Huyo Mbowe ndiyo anaweza kutatumi mroho wa madaraka ameyang'ang'ania watu wakitaka uenye kiti wanafukuzwa chama serikali ndiyo ataiweza
 
Amina
 
Hivi si hata kuvuruga uchaguzi na wale Covid 19 mlisema serikali itakatiwa misaada kwa kuwa inakiuka demokrasia?

Je, serikali ilikatiwa misaada?
Kinachomkuta Mkenda hadi kutukanwa kama mbulula ni laana za uchaguzi. Kile kitu hadi akiteme.
 
Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla.
Tutakuwa tumetangaza ugaidi wataleta vikosi vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…